Tutawasaidiaje ""sio riziki""kuwa ""riziki"" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutawasaidiaje ""sio riziki""kuwa ""riziki""

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 12, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Kama kuna kitu ninachikichukua ni mwanaume kuitwa sio riziki..kweli yawezekana kuna mazingirra aliishi yaliompelkea kuwa hivyo ama kuna wazazi wengine watoto wao wakiwa hivyo mascania na tipper zinaongezeka godown...ni lazima kuwe na sababu na hata wale mnaoendelea kuzaaliana muwe makini na watoto wa kike wa nyumban ..kuna house girl wengine wanamchezo wa kuwashika shika katitkati watoto wenu..sasa kuna miaka akishikwa shikwa alafu akafika wakati aipati hayo ndio madhara yake..hawa madada ni kumweomba mungu sana sanaa..tunapowaachia watoto wetu wa kiume wadogo hasa wanoogoshwa....anywa way tuje na msaada wa kwleli na dhati ukiwa kama mtanzania mwenye kuchukia kadhia ahii tunawasaidiaje watu hawa wawe kama wewe ulie riziki

  Kwenu wana JF membeer-Riziki
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hauwezi ludisha matone ya mvua mbinguni mkuu......
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nilishawai kuwa na schoolmate ambaye si riziki-tukajaribu kumsadia,kumshauri n.k-lakini siku tuliokubaliana akakutane na daktari,alikataa na akadai itakuwa ngumu maana nyumbani ana mtu-na atashindwa kumueleza huyo mpenzi wake-kwa kweli tulishindwa kumsadia kabsa-
  SO SOMETIMES WAO WENYEWE WANAKUWA WASHANOGEWA NA HAWANA MPANGO TENA WA KURUDI KWENYE MAISHA YA KAWAIDA
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ngumu kumbadilisha mtu asiyeona tatizo kwenye kitu anachofanya!! Labda
  tuanze kwa kuelimishana jinsi isivyo sahihi n madhara yake!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  So sad wapendwa hapa kazini gorofa ya kwanza tuko na moja la kihindi inaniumiza sana ninapomwona..ila nikapata moyo naweza pata mawazo hapa tukona tutawasaidiaje na hao wa nje ..tusikate tamaa jamani ....nahisi tuanze kuweka mdhara ya ushoga tutawasaidia wengi sana sana pengine wengine wanaignia bila kujua madhra yake
   
Loading...