hashimuboy
Senior Member
- Sep 19, 2017
- 131
- 56
Tatzo madem wanaringa mpaka uje umfanikishe kaz ipo
So suluhisho ni puliTatzo madem wanaringa mpaka uje umfanikishe kaz ipo
Nimekusoma chiefNyeto haina madhara, bali kila kitu kina madhara kikifanyika sana na zaidi. Mna matatzo yenu mnafeli kitandani mnasingizia nyeto...
1. Kula vizuri
2. Piga zoezi
3. Kama una demu kula mzigo
4. Kama huna Piga nyeto ujinga ukutoke.
Nakumbuka jeshini tulikuwa tunaimba "Piga punyeto ujinga ukutoke,haya weee haya weeee"
Ukimwi hauna dawa bora upige masturbation make dawa za kutibu wanatangaza kla ckuSo suluhisho ni puli
Hcho kpnd huwa ni cha kupita tuMtu anaefanya tendo la ndoa na mkono simtofautishi na shoga
Unajuanyeto tumepiga sana now tumeacha na show kwa wake zetu kama simba....sijawah kuahtirika nayo ...unaathirika tu pale unapoendekeza.....nyeto inatakiwa iwe kama optional au alternative sio njia kuu..chao