Tutathmini mayweather vs pacquiao

Tutathmini mayweather vs pacquiao

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Ndio hivo tena moneyman katangazwa mshindi lakini kibongobongo watu wanabishana na refa nani kaliona pambano?
 
Kwa wanaojua mchezo wa ngumi na sheria /kanuni zake, ile ni clear win kwa moneyweza!
 
May kashinda kuhalali. Ngumi chache zenye points.
 
Pacman alikuwa na lengo la kumaliza kwa KO hivyo tangu round ya kwanza lengo lake lilikuwa hilo,mayweather alikuwa makini sana kudhibiti kasi ya pacman na alikuwa anapga ngumu ambazo zilikuwa zikimfikia adui wake tofauti na pacman amerusha ngumi nyingi lakini jamaa alikuwa akizikwepa au kuzipanchi.

Jana nilikuwa nasikiliza kipndi cha sport extra cha clouds fm kuna bwana mmoja anaitwa ostadhi somebody ambae walimchukua ili achambue lile pambano,cna shida nae ila kwa uzoefu wake katka boxing hakuutumia vzuri cos kwenye mchezo kama huu ni ngumu kusema fulani atashinda ngumu sana.Ukimckiliza jamaa alikuwa anamponda sana mayweather but all in all ubishii baibai
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??

PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....

defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....

lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......

kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....

kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........
 
mchezo ukiisha mfanyeni mengine.
Dollar inasumbua hapa tanzania sasa hebu tuongelee hilo
hilo ni swala la ccm na escrow kila mkuu kaficha ma billion ya mboga ccm.

Swissme
 
​nachoumia roho ni kwamba we have waited 5 years for that shit...................damn
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??

PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....

defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....

lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......

kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....

kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........

Mayweather vs Pacquiao
[TABLE="class: data-table"]
[TR]
[TD="class: left first"]Punches throws
[/TD]
[TD="class: left"] 435[/TD]
[TD="class: left"] 429
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: data-table"]
[TR="class: row2"]
[TD="class: left first"]Punches landed
[/TD]
[TD="class: left"] 148
[/TD]
[TD="class: left"] 81[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: data-table"]
[TR]
[TD="class: left first"]Jabs thrown[/TD]
[TD="class: left"] 267
[/TD]
[TD="class: left"] 193[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: data-table"]
[TR="class: row2"]
[TD="class: left first"]Jabs landed[/TD]
[TD="class: left"] 67
[/TD]
[TD="class: left"] 18[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source BBC
 
Lakini dunia imepigwa changa la macho! Hilo pambano halikuwa na viwango vinavyostahili liitwe la karne! Halikufikia matarajio ya waliotoa pesa zao! No value for money! Hakuna kukalishana chini! Ni mwendo wa kuruka ruka na kudonoana ili mradi tu pointi inaingia na muda unaenda! Mayweather kashinda kihalali lakini pambano limekuwa chini sana ya matarajio! Ambaye hakuona ingia you tube uwaone wavulana wawili wanarukaruka na kufanya mazoezi! Mnashangaa nini wajanja washapiga pesa! Kweli ni mabondia wazuri lakini si Kivile!
 
Ustaz no shabiki Wa PAC ushabiki umemfanya asahau ni namna gani bondia anapata point
 
Back
Top Bottom