'TUTASUSIA Mkutano-CCM''

Ungeweka unaouita wewe ni ukweli, ungebahatika kukiita ulichokibeba kichwa .. Hakuna anayelazimisha mdau accoment Kama huna Hoja..

Watu Zomba huku wanalalamika mbaya, kwanini keki isigawanywe Kama maazimio ya Kamati iliyokaa Jumanne?..
Na baada ya Mkutano Wa kesho nimeahidiwa kuletewa orodha

Me waiting for update from ya!
Zomba zoba tu!!!
 
Ungeweka unaouita wewe ni ukweli, ungebahatika kukiita ulichokibeba kichwa .. Hakuna anayelazimisha mdau accoment Kama huna Hoja..

Watu Zomba huku wanalalamika mbaya, kwanini keki isigawanywe Kama maazimio ya Kamati iliyokaa Jumanne?..
Na baada ya Mkutano Wa kesho nimeahidiwa kuletewa orodha ya wadhamini waliochangishwa fedha kuudhamini mkutano Wa Kesho, kiasi gani kimetolewa Na ngapi wametia mifukoni..

Halafu Zomba nakushauri I'd ya Zomba uibadilishe, kikwetu Zomba ni Kama MSUKULE..

Kuwa Msukule sio kosa. Kumfanya mtu Msukule ndio kosa, au sio?

Ukweli ni kwamba huu mnaousambaza ni uongo.
 
He ha Hee !! Eee !! Michuzi na timu yake wamepigiwa cm kwamba atayepiga Picha nzuri itayoonyesha umati mkubwa atazawadiwa dongle nono, ajitahidi apige wakati wa shamrashamra za manyimbonyimbo, hotuba zitapoanza raia wote watayeyuka..

Salma2015 Nauliza: Hivi hii tabia mbaya ya wewe CCM *ya *kucheza nyuma ya CDM Umeanza lini, umekosa kipya cha kwako mpaka uige kila kitu, imepigwa ngoma ya katiba, unacheza nyuma-kinyumanyuma, imepigwa ngoma ya KAULIMBIU ya Vua gamba vaa Gwanda, unacheza nyuma-kinyumanyuma, eti vua gamba Na gwanda vaa uzalendo, unaujua uzalendo wewe?, Mke Wenu CUF ameanza naye kucheza kimugongo, vua gamba, vua gwanda, VAA haki Sawa maendeleo Kwa wote.. VITUKO!!
Mimi najitoa kwenye ushahidi manake siku HUYO CDM, akiwageuzia kibao anaweza kuwajeruhi 'nyuma-kwenu'

Kila kitu naona Kama CHADEMA ndio wanaongoza..
 
Kwenye kikao cha Kamati ya maandalizi ya mkutano huu wa CCM, Mjumbe mmoja alishauri watangaze kwamba LUSINDE naye atakuwepo kushambulia jukwaani Kama Arumeru.. Slogan hiyo itawafanya wakazi wengi kumwagika uwanjani kusikiliza matusi yake of which mbunge huyo hatakuwepo ila tu yote ni kufanikisha 'Jaza uwanja'

Kauli aliyoitoa mwenyekiti Wa CDM, Mbowe kwamba KIWANJA hicho CCM wanakiogopa inawatesa sana CCM.

Mie nadhani CCM hawana Haja ya kuwa Na hofu kubwa that way, wananchi sasa wako makini, mikutano Kama hiyo lazima wahudhurie kusikiliza lipi viongozi wao watazungumza.. Kama ni porojo au mipasho watazitumia akili zao ipasavyo..

CCM mnatumia nguvu nyingi mno kujaza uwanja Na si kipi mtawaambia wananchi..
 
Leo tumefanya maandamno tunasikia kuna mmoja huko NECTA kisha simamishwa kazi, na bado!

"mpaka kieleweke" - Sheikh Farid wa Uamsho Zanzibar.

na kitaeleweka sana tu.......... wajinga ndio waliwao
 
Leo tumefanya maandamno tunasikia kuna mmoja huko NECTA kisha simamishwa kazi, na bado!

"mpaka kieleweke" - Sheikh Farid wa Uamsho Zanzibar.
Hapa ndipo unapaswa kumuelimisha Rais wako JK kwamba aige mfano wa NECTA kwa kumsimamisha kazi mtu mwenye tuhuma ili uchunguzi ufanyike, lakini cha kushangaza JK hana ubavu wa kuwasimamisha kazi Mafisadi wengi tu ambao wapo chini ya mamlaka yake ya uteuzi.
 
Msitutoe kwenye topic. Malori ndo hayo yameanza kazi ya kusomba watu. Picha zitaendelea kuwekwa.

attachment.php
 
Hapa ndipo unapaswa kumuelimisha Rais wako JK kwamba aige mfano wa NECTA kwa kumsimamisha kazi mtu mwenye tuhuma ili uchunguzi ufanyike, lakini cha kushangaza JK hana ubavu wa kuwasimamisha kazi Mafisadi wengi tu ambao wapo chini ya mamlaka yake ya uteuzi.

Hivi wewe hujaona juzi juzi mawaziri wangapi kawapiga chini? amma kweli, fanya wema wende zako, usingoje shukurani.
 
Zomba kweli kapinda...

Mara Pinda kapinda, sasa Zomba kapinda. Vitu mnaona wenyewe hapo, usafiri isiwe kisingizio cha kutokuhudhuria mkutano adhim. Mbali mabasi, bajaji, Taxi, bodaboda, baiskeli. CCM kiboko.

Leo tunataka watu waelewe kinachoendelea maana chadema wamezowea kuwajaza watu ujinga.
 
watapigana sisi tupo hapa tusubirie tu maana ccm nikama kenge ndani ya shimo refu lililojaa maji kutoka hawatoki kelele kibao kifo kinawasubiria 2015
 
Back
Top Bottom