Tutarajie Zanzibar ikipiga hatua zaidi za kimaendeleo huko Tanganyika ikizidi kuporomoka zaidi

Tutarajie Zanzibar ikipiga hatua zaidi za kimaendeleo huko Tanganyika ikizidi kuporomoka zaidi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,632
Mwenye macho haambiwi tazama.

Mwenye masikio haambiwi sikia.

Tutarajie wazanzibari wakipiga hatua za kimaendeleo kwa kasi sana kupitia mgongo wa Tanganyika huku Tanganyika tukiendelea kudidimia.

Mpaka sasa bado nchi haijawa stable na haijulikani lini itakuwa stable.

Wazanzibari wanazawadiana vyeo huko serikalini ,huduma zote za msingi zinahamishiwa Zanzibar ila huku Tanganyika pesa inaishia kununua magoli.

Ukiacha maslahi binafsi ya muda mfupi , ni ngumu sana kushabikia serikali iliyopo madarakani labda nati ziwe zimelegea.
 
Back
Top Bottom