Tutarajie nini CHADEMA ikishindwa Arumeru?

Kwa sababu unaona mtoboa sikio mwenzio ndiyo kabisaaaa waona atashinda e..Mleteni unguja atapata kura...Wasira We
 
Kuna kila dalili kuwa wana Arumeru watamchagua Sioi, kwa hiyo tutarajie cdm waje na haya majibu: .tumejitahidi kura zimeongezeka .kura zimechakachuliwa .mawakala walihongwa .mkurugenzi wa uchaguzi ni kada wa ccm kama ulikuwepo vile hawatakosa cha kusema
 
all the time najiuliza kwa nini wana cdm mnamhofia sana lowasa yeye ni mbunge tu wako kina mkapa na wasira bt hata hawaogopewi nahis lowasa ana cha ziada by the way he is strong na anajiamin
 
Back
Top Bottom