Tutakukumbuka daima rafiki mpendwa Furaha (Ohaa Masai)...!

Tutakukumbuka daima rafiki mpendwa Furaha (Ohaa Masai)...!

Jina jema hung'aa gizani.Pumzika kwa amani FURAHA. POLE MTAMBUZI Chema hakidumu
 
Dah, Mtambuzi umenitoa machozi, nimeumia
Jamani Furaha.....R.I.P my young brother
Kweli dunia tunapita
 
Eti pesa za kununua CT Scan ndo zitawekwa kwenye bajeti ijayo, jamani watu wanatembelea na VX lakini CT Scan imeshindikana kununuliwa, eeeh Mungu Tunusuru, kijana mdogo alipoteza maisha sababu ya wazembe wachache tu wanaojijali wenyewe

Hili suala la Muhimbili na hospitali nyingine kutokuwa na CT Scan ni la muda mrefu sana....najiuliza hata kama CT Scan ni expensive kiasi gani iweje Regency ambayo ni kituo cha afya (si hospitali) wawe nayo na serikali ishindwe kununua kwa ajili ya hospitali zake???????????????? Regency wana nini ambacho serikali haina??????

Kama nina kumbukumbu nzuri ni zaidi ya miaka mitatu sasa ukienda pale Regency unakuta wagonjwa toka muhimbili wamekuja kwa ajili ya kipimo cha CT Scan...it is a shame...alafu inaitwa hospitali ya rufaa!
 
*Mkuu ukisoma vizuri hiyo stori utagundua issue sio matabibu kabisa na matabibu waliomwona mgonjwa wamefanyakazi yao vizuri tu(Walihisi tatizo na walitoa mapendekezo sahihi kabisa).

Tatizo hasa ni Logistics(Taratibu na mipangilio) na Facilities(Nyenzo na vifaa) katika nchi yetu katika sekta ya afya.

*Mkuu kazi kubwa ya Tabibu ni Kutibu(Examine, Diagnosis, To plan management, Advice,
To conduct medical procedure kama kufanya operation, Kukuandikia dawa nk.)

*Swali, je mazingira yanamruhusu vipi Tabibu kufanya kazi zake kwa ufasaha na kwa wakati?

Pole sana Mtambuzi.
Walimzungusha sana nahisi angewahishwa muhimbili kama yule DR wa Temeke alivyofanya labda habari ingekuwa ingine kabisa.
Ni kweli logistic na na vitendea kazi pia ni gumzo but kwanini na watabibu wawe sehemu ya tatizo kwa kumzungusha na kumchelewesha mgonjwa kiasi hicho.
yAMKINI ALIPOFIKA MUHIM,BILI ILIKUWA TOO LATE!
 
Asante Mtambuzi kwa uzi huu wa uchungu ila wenye fundisho kubwa sana kwetu. Kwanza kichaa ni wa kuogopa maana hata akikudhuru huwa kesi yake ni nyepesi hapewi adhabu anayostahili, kwa mfano kwa kumuua furaha pale hawezi naye kunyongwa kama inavyostahili kwa sheria za Tanzania za kuua kwa kukusudia. Pili huduma zetu za fya kwa taasisi za afya za serikali ndivyo zilivyo na wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa huduma stahiki kwa muda muafaka. Kama huna hela ya kuhonga kuanzia karani wa file, nurse hadi daktari mwenyewe huwezi kupata huduma ya haraka hata kama ipo. Furaha Laizer, Rest in Peace. Uzembe wa huduma zetu za afya ulipoteza uhai wako!! Wangekushughulikia within 26 hours pengine ungepona!!
 
rest in peace furaha

Binafsi napenda chama kilichoko madarakani kiondoke,waliyoyafanya yanatosha.Hainiingii akilini ikifika wakati wa bajeti ,kununua magari ni jambo la maana kuliko kununua CT scan ,tena kwenye hospitali kubwa kama ya taifa.Hii stori imenihuzunisha sana ,na imepigilia msumari kwenye taarifa ya mwanafunzi wa SAUT aliyefariki ghafla jana,ambaye ni mdogo wa rafiki yetu.Siku hizi mbili zimekuwa za huzuni kwangu.
Pole sana Mtambuzi
 
Rip furaha this is so sad mie naona kuwe na board ya kuregulate hizi mushroom hospital at least ziwe na basic equipments na trained staffs ni bora tuwe na hospitals chache that we can all have faith kuwa tutapata right treatment kuliko hali ilivyo sasa....
 
kama angepata huduma bila mizunguko kuna uwezekano furaha angekuwa hai hadi hii leo ila inaumiza sana pale mtu anapopoteza maisha kwa kukosa huduma, inauuuma saaana, watawala wetu suala la kusimamia huduma bora za afya wamelisahau kama sio kulifumbia macho kwani wanapopatwa na maradhi hata madogomadogo ndege huwa iko tayali kuwakimbiza apolo india. r.i.p furaha
 
REST IN PEACE our young braza Furaha!
bnafsi huwa nateswa sana na vifo vya vijana pia bado sijazoea sana hata kule kijijin nlipokulia wala sikuzoea kuskia vifo vya vijana, nilizoea vya wazee na wakina mama hasa nyakati za uzazi. vinnginevyo huwa vifo maji tu kwa wote.
hali hiyo ikasababisha niwe nalia msiba woote mradi tu uwe wa kijana hata kama sikuwahi kumuona wakati wa uzima wake. kiimani tunasema siku zake zilifika na mungu kampenda zaidi. tujiandae nasi kwa safari hiyo maana hatujui saa wala njia tutakayoendea.
 

Ni kweli ametutoka na tutaendelea kumkumbuka daima, lakini pia ametuachia changamoto kuwa na tahadhari na watu wenye matatizo ya akili hata kama ni mtoto wako wa kumzaa.


Connecticut school shooting: Adam Lanza's mother kept trials of home life hidden

[...]

But while Lanza spoke proudly about her sons and brought them in for breakfast when they were younger, friends say she held one card very close: home life, especially its trials and setbacks, was off limits.

Now, the secrets Lanza kept are at the centre of the questions that surround this American town, grieving over the slaughter unleashed by her 20-year-old son Adam, who investigators say killed his mother Friday with one of her own guns before murdering 26 children and teachers at a nearby school.

"Her family life was her family life. She kept it private, when we were together. That was her own thing," said Louise Tambascio, who runs the warmly lit pizzeria and bar with her own sons, and became a shopping and dining companion of Nancy Lanza's.
Friends had met Lanza's younger son, who stared down at the floor and didn't speak when she brought him in. They knew he'd switched schools more than once and that she'd tried home schooling him. But while she occasionally expressed concern about his future during evenings at the bar, she never complained about anything at all.

"I heard her as a parent. I always said that I wouldn't want to be in her shoes. But I thought, ‘Wow. She holds it well,'" said Tambascio's son, John.

Friends told NBC's "Today" show on Monday that Lanza was a devoted mother, especially to her son Adam, and that shooting guns was simply a hobby for her.

Russell Hanoman said Adam Lanza was "clearly a troubled child."

Hanoman said Nancy Lanza told him she introduced guns to Adam as a way to teach him responsibility.

"Guns require a lot of respect, and she really tried to instill that responsibility within him, and he took to it. He loved being careful with them. He made it a source of pride," he said.

California resident Ryan Kraft told KCAL-TV in Los Angeles that when he was a teenager he lived a few doors down from the Lanza family and used to babysit Adam Lanza, then nine or 10 years old. He said the boy "struck me as an introverted kid."

"His mom Nancy had always instructed me to keep an eye on him at all times, never turn my back or even go to the bathroom or anything like that. Which I found odd but I really didn't ask; it wasn't any of my business," said Kraft, who lives in Hermosa Beach. "But looking back at it now, I guess there was something else going on."

Despite the challenges, the trappings of Lanza's life in Newtown were comfortable. When she and then-husband Peter Lanza moved to the central Connecticut community in 1998 from southern New Hampshire, they bought a brand new 3,100-square-foot colonial set on more than two acres in the Bennett's Farm neighbourhood. Nancy Lanza had previously worked as a stock broker at John Hancock in Boston and her husband was a successful executive.

When the couple divorced in 2009, he left their spacious home to Nancy Lanza and told her she would never have to work another day in her life, said Marsha Lanza of Crystal Lake, Ill., Lanza's aunt. The split-up was not acrimonious and Adam spent time with both his mother and father, she said.

[...]

All three of the guns that Adam Lanza carried into Sandy Hook Elementary were owned and registered by his mother - a pair of handguns and a .223-caliber Bushmaster rifle, his primary weapon.

[...]

But while trips to shooting ranges gave Lanza an outlet, she returned home to the ever-present challenges of raising a son with intractable problems.

At Newtown High School, Adam Lanza was often having crises that only his mother could defuse.

"He would have an episode, and she'd have to return or come to the high school and deal with it," said Richard Novia, the school district's head of security until 2008, who got to know the family because both Lanza sons joined the school technology club he chartered.

Novia said Adam Lanza would sometimes withdraw completely "from whatever he was supposed to be doing," whether it was sitting in class or reading a book.

Adam Lanza "could take flight, which I think was the big issue, and it wasn't a rebellious or defiant thing," Novia said. "It was withdrawal."

The club gave the boy a place where he could be more at ease and indulge his interest in computers. His anxieties appeared to ease somewhat, but they never disappeared. When people approached him in the hallways, he would press himself against the wall or walk in a different direction, clutching tight to his black briefcase.

Marsha Lanza described Nancy Lanza as a good mother.

"If he had needed consulting, she would have gotten it," Marsha Lanza said. "Nancy wasn't one to deny reality."
But friends and neighbours said Lanza never spoke about the difficulties of raising her son. Mostly she noted how smart he was and that she hoped, even with his problems, that he'd find a way to succeed.

"We never talked about the family," John Tambascio said. "She just came in to have a great time."

Connecticut school shooting: Adam Lanza
 
Nimejikuta nasoma mwanzo mwisho nafuta machozi na kamasi
 
Aisee!!!!!!! Was too young to die jamani. Na hawa wauguzi wetu kama kazi hawawezi si wawe wanakubali mapema, Mgojwa ana hali mbaya dana dana za kubaatisha kibao,hata huduma ya kwanza hakuna!!!!!! Ana kuja kumuona Dr baada ya masaa 26!

Vifo vingi nchini kwetu ni uzembe na kutojali.Hata hao Ma Dr ushauri wao haukua na tija,Kwanini hawakumshauiri mapema aende muimbili ? Aaah aisadii tena kusema sana maji yashamwagika tuchukue tukio tu kama funzo lkn inaumiza sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom