Tutakukumbuka daima Mzee RK…

Tutakukumbuka daima Mzee RK…

Kwahiyo mbunge wako ni Mama Kilango.....Wapare wajanja sana lakini nawashanga mmeshamwoza huko Dodoma kwa Mzee Tingatinga lakini bado mnampatia ubunge.Samahani nimetoka nje ya mada kiduchu.

Mkuu mie naishi Dar miaka zaidi ya 30 sasa na huko Same ni asili yetu tu, sie tumetokea kijiji cha MESERANI WILAYA YA SAME
 
Mkuu Mtambuzi lakini mara chache si unakwenda kusalimia ndugu jamaa na marafiki au Shangazi,wajomba,mabinamu,mababu mabibi wadogo na wakubwa wote mmewasusa ?.

Last edited by a moderator:

Wengi wameshakufa, kuna makaburi tu huko, na wajomba zangu wako huku Dar na wengine wako Tanga na wengine huko Unyamwezini Puge Nzega Tabora
 
Pole sana mkuu Mtambuzi! mlimpenda sana baba lakini Mungu alimpenda zaidi! Amen!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na Mungu aendelee kuwapa nguvu.

Kweli alikuwa mfano mzuri kwa kutunza familia yake kwa hali zote. Hata ilipotokea mama kupotea mapema aliweka nadhiri ya kwamba hataoa mpaka muwe watu wazima. Ni mfano na kielelezo cha kuigwa kwa kweli.

ILA SASA WENGINE WENZI WANAKUWA BADO HAWAJAFA LAKINI TUNAOA KILA WAKATI KINAMNA!! Tuchukue mkataa wa kufuata mfano mzuri wa baba kuanzia mwaka mpya 2013.
 
pole sana shem Mtambuzi......
On a serious note...... tuna-share death day ya baba zetu (1/4), ila wangu ni 2007
RIP baba zetu......
tuliwapenda sana lakini tunaamini Mungu aliwapenda zaidi
 
Last edited by a moderator:
pole sana shem Mtambuzi......
On a serious note...... tuna-share death day ya baba zetu (1/4), ila wangu ni 2007
RIP baba zetu......
tuliwapenda sana lakini tunaamini Mungu aliwapenda zaidi

Yeah nimeona shem, kuna tofauti ya mwaka mmoja.............
Katika jambo ambalo nilijifunza kwa baba yangu mpaka hata ndugu zangu wanajua ni kusoma magazeti na vitabu, baba yangu alikuwa ni mpenzi wa magazeti sana na hiyo tabia nimeirithi mimi peke yangu kati ya ndugu zangu wote, naamini ni kwa sababu nilikuwa karibu naye sana kuliko ndugu zangu, ila sasa mimi nimehamia mtandaoniiiiii........LOL
 
ha ha haaaaaa, badala ya kuandika 4/1 nikaandika 1/4 lakini nilikuwa namaanisha January 4th, lol!
hongera kwa kurithi tabia ya baba.....
mimi nilikuwa kipenzi cha baba lakini sina uhakika kama nimerithi chochote toka kwake.
ila ninachojua ni kuwa hapa nilipofika ni kwa sababu yake, nilikuwa namsikiliza sana kwa kila kitu ambacho alitaka nikifanye (isipokuwa kimoja tu)..... nilikuwa namwamini sana
 
Kisaikolojia inaelezwa kwamba mabinti wengi huolewa na baba zao.

Namaanisha kwamba wale mabinti waliokuwa karibu sana na baba zao wanapofikisha umri wa kuchagua wenza, bila wao kujua huvutiwa na wanaume wenye sifa kama za baba zao, kama sio sifa inaweza kuwa sura, lakini itategemea zaidi kama binti huyo alikuwa anavutiwa na nini kwa baba yake. Haiyumkini ule msemo wa wanandoa kufanana pale wanapoishi pamoja kwa muda mrefu unaanzia hapo.

@FP, kama ulikuwa karibu na baba yako, basi hata mwenza wako ulimchagua/utamchagua kwa vigezo vya baba yako bila wewe kujua, huo ni mwito wa kimaumbile.

Nawaonea huruma wale mabinti ambao baba zao ni walevi kupindukia au wana mkono wa kupiga wake zao, nahisi ndoa zao hazitakuwa salama.............
 
ha haaaaaaaaa, mi sijui shem, lol!
ninachojua ni kwamba babangu alikuwa rafiki yangu so as mume wangu.....
 
Yeah, nilijua tu kuwa na wewe umepatikana, kwa hiyo mume ni rafiki yako kama ilivyokuwa kwa baba yako....

Nimeunganisha Dots............
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake Lihimidiwe..

Mkuu pole sana, Natumaini mzee RK ana furaha sana huko aliko kutokana na huo mshikamano mlio nao na yale mema ya kwake mnayoyafuata Mwenyezi Mungu awajaliye moyo huo huo.

RIP mzee RK, wanao hawakuwa vinjwa vya madafu.
 
Mkuu huyu RK ninani??....>>>>Pole sana mkuu mungu aendelee kuwapa nguvu na kuwa na mshikamano huo mliokuwa nao namwisho mungu aendelee kumuondolea adhabu ya umauti mpaka hapo siku ya kiyama!ili mkakutane tena kujenga familia moja!Amen

Nilidhani RK ni Rashid Kawawa.

Mungu aendelee kumlaza mahala pema, nuru ya bwana mungu wa majeshi imwangaze
 
Apumzike kwa amani mzee wetu....
Furahia maisha yake....angalao alikuambukiza jambo jema...kusoma
 
::
Ahaa kumbe ndio maana una akili,,shida za utotoni ni msingi wa maisha.
Pole sana kwa kuondokewa na nguzo ya maisha yako
=
 
so sad... Rest in etternal peace baba n' dada Mtambuzi... mungu akutie nguvu katika kuyafanya yote mazuri waliyokurithisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom