Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,121
- 38,519
Samahani sipokuwatetea wanaokula wake za watu ama waume za watu
lakini ni vyema tukawakana sawa m naamini hata kama kuna watu wanapenda wake za waatu ama binti wanapenda waume za watu kuna baadhi ya watu wameweka nadhiri kabisa awatokaa kutembea nawandoa lakini
hapo hapo niweke wazi kuna kundi la wana ndoa ambao wako kwa ajili ya kutoka nje ya ndoa
kundi hili limekuwa likithubuutu hata kuvua pete za ndoa ili watakaowapata waweze kuwahakikishia awana uuhusiano wa ndoa
swali langu je mtu kama huyu utamsaidiaje ajue huyu ni mwandoa....na mbaya anadanganywa na mtu alieingia kwenye ndoa na aiza ameshataabika sana kwenye ndoa akitafuta relief huku mwenzie akitafuta wa kufanana nae
neema ya mungu itusaidie kwa hili kwa kweli nasema hivi kutoka na yalitokea leo naambiwa mwanmke akuwa na pete ya ndoa aliovishwa na mumewe sasa huyu kijana atakuwa na kosa gani??pengine alikuwa kwenye msururu wa kutafuta wa kufanana nae akafarikiwa nae maskini loh hii mitego aina adabu kabisa