Tutajeni sehemu korofi jiji la Dar

bic2kn

Member
Feb 18, 2017
76
22
Hebu tutajeni sehemu korofi zinazoongoza kwa ukabaji na uporaji katikati jiji letu la Dar es Salam. Nianze mwenyewe tandare kwa tumbo ni hatri kwa ukabaji na uporaji nyakati za usiku na alifajiri ebu na wewe share eneo hatalishi mahali ulipo.
 
Hakuna sehemu salama jiji hili. Waporaji wapo kuanzia masaki, o'bay mpaka kwa mtogole.
 
Mlimani city mle ndani, nipakorofi balaa sio ubakaji tu na matumizi yasiyo ya msingi
 
Back
Top Bottom