Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,723
- 45,136
Timu kushuka sio kigezo cha kusema wachezaji wote ni wabovu, ndio wabovu wapi lakini hata wenye uwezo wapo, maana wahenga waliwahi kutuambia "kidole kimoja hakivunji chawa".
Leo tutaje wachezaji wenye uwezo mzuri ambao wanaweza wakasajiliwa na timu nyingine za EPL. Wachezaji hao wawe wanatoka katika vilabu vitatu vilivyoshuka daraja ambavyo ni Watford, Bournemouth na Norwich.
Mimi naanza na beki wa Bournemouth Nathan Ake, huyu licha ya timu yake kushuka ana nafasi ya kusajiliwa na timu nyingine ya EPL, Arsenal wanapaswa wamchangamkie huyu jamaa!
Karibu uendelee...