Tutaje wachezaji wenye uwezo mzuri katika timu 3 zilizoshuka daraja EPL

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,042
Timu kushuka sio kigezo cha kusema wachezaji wote ni wabovu, ndio wabovu wapi lakini hata wenye uwezo wapo, maana wahenga waliwahi kutuambia "kidole kimoja hakivunji chawa".

Leo tutaje wachezaji wenye uwezo mzuri ambao wanaweza wakasajiliwa na timu nyingine za EPL. Wachezaji hao wawe wanatoka katika vilabu vitatu vilivyoshuka daraja ambavyo ni Watford, Bournemouth na Norwich.

Mimi naanza na beki wa Bournemouth Nathan Ake, huyu licha ya timu yake kushuka ana nafasi ya kusajiliwa na timu nyingine ya EPL, Arsenal wanapaswa wamchangamkie huyu jamaa!

Karibu uendelee...
 
Alexander Docoure
Ismaila Sarr
Deloufee
Owen Cantwel

Kikosi chote cha Bournemouth
 
Back
Top Bottom