Tutaje dhambi za zamani ambazo sio dhambi siku hizi!

Togwa naipendaa
 
Matusi.. zamani matusi yalikua dhambi lakini sasa hivi watu wanaitana kwa matusi na hakuna anayechukia..
Unakuta mtu anamuita mwenzake "we msengee umeamkaje?" "We boya kumbe upo?"
Umasikini ni ufala-Mchungaji Lusekelo, Mzee wa Upako!
 
Watakuwa wasabato pori hao, hawa wa kwetu last Jmosi nimealikwa Kwa mlo wa mchana, nimepiga ka-coca cola fresh tu! Kitimoto tunagonga kama kawa!

Kuna rafiki zng wa kike suruali ni Kama ngozi, wanavaa vzr tu na kila Jmos wapo kwenye lesoni!

Tofautisha wasabato Pori na hawa wa kileo!
 
Wachungaji hua wanasema kuangalia picha za ngono ni dhambi,sasa najiuliza wao wamejuaje kama kuna picha za ngono?
Maana yake na wao wanaangalia kwanza,kwa hiyo wengine kuangalia dhambi,ila wao si dhambi,nacheka saaaana!
Ya Gwajima hata Kakobe aliicheki!
 
Endelea kuota ndoto za kimagumashi magumashi ukijifariji kwa kugeuza rangi nyeupe kuwa nyeusi and vise versa is true
 
Sijakuelewa mkuu Jumong S hebu kwanza niambie maana hasa ya neno Dhambi kisha turudi kwenye mjadala
Asee binafsi nimeelekeza kile wachungaji walikuwa wanasema ni dhambi but Kwa sasa kimepoteza ule u-dhambi na sasa ni Mambo ya kawaida. Mf issue ya simu nadhani tatizo lilikuwa ni elimu/ufahamu wa wachungaji ulikuwa duni.

May be Mambo ya Mungu tunayakuza Sana na kujitengenezea namna tunavyotaka Mungu awe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…