tutaishije!!!

tutaishije!!!

Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi kanitoka kabisaaa!!! Na cjui hiyo ndoa itakuaje nishaurini jmn

Wadada wa siku hizi na ndoa ni kama uji wa lishe na mtoto mwenye kwashako., Hapo kumuacha unataka 70% na ndoa unataka 100%.

Dada'angu hiyo ni ishara ya mapema kabisa kuwa huyo hakufai, otherwise muombe Mungu akuoneshe nini cha kufanya.

All the best.
 
Find your solution here ( ) result still loading ............ Don't waste your time.
 
Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi kanitoka kabisaaa!!! Na cjui hiyo ndoa itakuaje nishaurini jmn
Hakuna kizuri bila dosari (Hakuna Rijali alokuwa pure 100%) In short wewe mezea tu, One day ata confess! (wait for the right time/place) Nawe utachukuwa upper position kumweka kwapani.... Leo hii Mwanaume ni bidhaa adimu !! FUNGA NDOA.
 
na wewe tembea na rafiki iwe ngoma droo then mmalizane yaishe
 
Pole Anna Pita!. Pole sana kwa kuwa aliyekusaliti ni rafiki yako.
Je umeshawahi kujiuliza huyo rafiki yako alitumia mtego gani? Kila mtu anayo mapungufu yake, makubwa au madogo, hutegemea na mpimaji. Hata wewe unaweza, katika wakati wowte kuanguka mtegoni. Je unaamini kuanguka kwako katika zinaa inawezekana?

Amini nakwambia "Ikiwa kama wewe huna dhambi, na uwe wa kwanza kumpiga jiwe". Sis sote ni binadamu, kuna nyakati nyingi tunaanguka dhambini, ndio maana kuna fursa ya kutubu na kuungama.

Naomba ushukuru kwa kuwa umejua, hiyo itakusaidia kukaa na mchumba wako na kujadili kwa kina ili kujua udhaifu wake, kisha kumsaidia ili asitumbukie dhambini tena.
Nasema ushukuru kwa kuwa, kuna wanaume wasiri kana kwamba wanao vimada njia nzima, na mchumba wake hajui. Huja kujua baada ya ndoa, na mume kuichoka ndoa. Hivyo ndoa kuvunjika.

Mtu makini, akisha fahamu ufa, hufanya jitihada za kuziba. Kwa bahati mbaya sana, vijana wengi hutarajia kuwa na mahusiano yasiyo na kasoro. Hii haiwezekani. Haijawahi kutokea, tangu kuukmbwa kwa ulimwengu. Kumbuka uchumba wa Maria na Yosefu.
Fanya tathmini ya kina, juu ya kilichomwangusha mchumba wako, jitahidi kuziba ufa.
Najua wengi watakuambia umwache, jiluze, je kadiri ya tathmini yako, ni sahihi kumwacha??
Akili za kupewa changanya na zako.
 
Msamehe.....kwani alitembea nae sana
......?...

Labda ilikuwa umbali wa kilomita moja hivi...sio sana eti?
Anna pita what do you feel? cause its possible kuvunja huo uchumbwa kwa grounds hizo
 
Last edited by a moderator:
Anna pita utapata ushauri mbalimbali. M nakwambia machache just follow ua heart.
 
Last edited by a moderator:
Anna pita nakukumbuka hope tatizo lako la kipindi kile liliisha mi nilipatwa na shida hapa katikati ndo maana nikapotea hongera kama ulisolve lile tatizo ila kumbuka hili UCHUMBA UNAWEZA KUVUNJIKA ILA SIO NDOA hasa za kikristo japo zinavunjika
 
Last edited by a moderator:
Sasa kutembea na rafiki yako Ni kosa? Mbona kutembea na shemeji siyo shida!!! Shida kufanya naye ZINAA ambayo Kwa maelezo yako husemi kama wamefanya Hilo. Ina maana wewe ndugu wa kiume wa mume wako ama mume wa dada yako hutotembea nao/naye?

Loading........,,,
 
Ni poa sana........kwa sasa nipo nyumbani Mongolia.......kuna baridi kifua kimenishika .......ndio nachemsha majani ya mparachichi ninywe.........

Majani ya maparachichi tena..... Yethuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
 
haya ndo maisha ya kibongo, msamehe uolewe!we ndo kakupenda zaidi ndo mana hakuvisha pete , angempenda zaidi rafiki yako angemvisha huyo na sio wewe. Na inawezekana alikuwa anawapiga wote wawili bila kujuana tangu zamani wewe tu ndo umeshtukia leo, nakati yenu akakolea kwako na ndo maana kakutangazia ndoa.KUKU wa kwako tu huyo sa 12 ataingia ndani huna haja yakumshikia manati!!
 
Back
Top Bottom