charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,373
Msamehe.....kwani alitembea nae sana
......?...
Ha ha haa hakwenda nae mbali sana kama km 2 tu.
Msamehe.....kwani alitembea nae sana
......?...
Msamehe.....kwani alitembea nae sana
......?...
Mimi pia banaaa ulipotea sana
nipo wangu....kitabu kilibana
Pambana huku mtaani pagumu sana
yaani........na nilivyo muoga wa maisha,
Huna haja ya kuogopa maisha ila weka juhudi kwenye masomo
Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi kanitoka kabisaaa!!! Na cjui hiyo ndoa itakuaje nishaurini jmn
Msamehe.....kwani alitembea nae sana
......?...
hivi si ndo wewe ulianzisha thread ya 'wanaume stress tupu' na ulikua unatafuta mwanamke mwenzako msagane vipi tena leo unaolewa
Kutokea Unga ltd mpaka Sanawari kwa miguu.... hajatembea nae sana hakyamama. Amnunulie bodaboda tu, baaas.