Tutahakikisha tunawaua ndani ya wiki moja

Tutahakikisha tunawaua ndani ya wiki moja

Ujambazi unatishia amani ya maisha na mali zetu, wananchi tutoe ushirikiano kwa vyombo husika ili kufanikisha wahalifu kutiwa nguvuni
 
KaKama ni kweli wameongea hivyo basi waliongea kwa uchungu na kujaa nyembe makamanda fanyeni kazi za watu kwa weledi msipanic itawagharimu
 
Mkuu umeeleza vizuri mno!

Hata Mie najiuliza tu jamani hivi jeshi letu la polisi linaruhusiwa kuua watuhumiwa au wahalifu?
 
Alaafu unapotangaza tu vita hao watu si watahama au kubdrisha tu makazi...kwanini wasifanye kimyakimya ili isje ikawa kama hizo kelele ni kuwafanya tu wahame walipo na baadae kufanya tena yaleyale
 
Kwa utawala wa sheria, huyo marijan alitakiwa afunguliwe kesi za uchochezi na kutaka kuua kwa kukusudia, kwani jesh la polic hawakutakiwa to kaul kama hii yenye kuchochea mauaji
Angesema Lisu wangesha mkamata. Ingawa siungi mkono mauaji ya aina yeyote dhid ya binadam
 
Back
Top Bottom