Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

Ninasubiri kuona namna atakavyoliendesha bunge hili ili nijue ukweli wa uzalendo wake
 
please consult inner being,,,most likely u are out of sense,,ts not u may be,,ts somebody else in u

That is virtually my utterance and, for your information, nobody can dare to stay inside me. Yet, never it happened the mean sense to be out of me, because I am myself that sense. Moreover, I am a consultant of the inner being, thus it is ridiculous for me to consult that inner being.

Again, Sitta is a rag.
 
Mpuuzi tu. Jumapili arudi kwa Gwajima na shosti wake Mwakyembe kutoa shukrani.

Bahati mbaya bado sanaa nchiii hiii washabikiii ni wengi hata mambo ya MSINGI..Eti hata SItta na Mwakyembe ni Makinii!!! lol
 
Huyu kapata kichaa nadhani. Nimemsikiliza asubuhi anatangaza misimamo yake na kuwapiga mikwara wenye misimamo tofauti yake sasa kiongozi gani huyu.
 
Kweli watanzania tunaishi kwa "slogan", mmoja akianzisha "sita mnafiki" basi wooote, ukimuuliza mtu unafiki wa sita ni nini? Utasikia ah! Basi tu
 
Back
Top Bottom