Kayler
Member
- Jul 17, 2016
- 25
- 6
Kama mtu mzima hupaswi kumnyooshea kidole mkubwa mwenzio bali katika suala lolote lenye kuleta sintofahamu, tunapaswa kujiuluza nini tungepaswa kufanya na kubwa zaidi nini kifanyike kuinusuru hali. Kila mtu kwa nafasi yake anapaswa kufanya lililo chini ya uwezo na mamlaka yake na si jambo la busara kuanza kumnyooshea kidole aliye mbele yako ..Nawasilisha