Tutafakari kabla ya kuandika tangazo

Tutafakari kabla ya kuandika tangazo

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,480
Reaction score
946
KInyozi mmoja alikuwa na salun katika ghorofa ya juu,

aliamua kuhamia chini akaweka tangazo hili

"KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI".

Wateja wote wakamkimbia.
 
wateja walijua kifuatacho ni kunyolewa kiduku kunako maeneo!
 
Back
Top Bottom