Raisi leksandar Vucic aongoza Waserbia katika kumbukizi ya mauaji yaliyofanywa na NATO 1998

bernard10

JF-Expert Member
Apr 2, 2021
410
731
Raisi wa Serbia Aleksandar Vucic Jana usiku aliongoza maelfu ya wa Serbia katika KUMBUKIZI ya mauaji ya ndg na jamaa zao yaliyofanywa na NATO mwaka 1998.

Akihutubia Taifa Raisi wa Serbia alisema,
Miaka 23 iliyopita NATO ilifanya mashambulizi ya kikatiri, yakutisha na yasiyosameheka kwenye nchi ndogo ambayo haijavamia nchi nyingine au watu.

Katika mashambulizi hayo ubarozi wa China Ni miongoni mwa wahanga wa mashambulizi hayo.
Akihutubia vyombo vya habari msemaji wa wizara ya mambo ya nnje China alisema,

Mwaka 1999 March 24 vikosi vya NATO vikiongozwa na Marekani kwa wazi vilipuuza baraza la ulinzi la UN kwakuanza siku 78 zakuilipua kwa mabomu Yugoslavia nchi huru kwamakusudi wakipuuzia makubariano ya taratibu za kimataifa,
Mashambulizi 12000 YENYE vilipuzi tani 10000 Huku makombora 3000 yalilipuliwa yakil hienga kila kitu vifaa vya afya sehemu za kitamaduni shule na makazi.
Maelfu ya raia wasio na hatia waliuawa ikiwemo waandishi wa habari wa china.

Katika kampeni Yao yakuripua mabomu NATO walifyatua mabomu ya Uranium yaliyokataliwa katika makubariano yakimataifa hivyo kusababisha madhara ya muda mrefu yakiafya na mazingira.
Watu wa Serbia China na duniani kote hawatosahau kamwe ukatili huo wa NATO.

Ni Jambo la kujiuliza kama NATO wamejitafakari katika sual la UKRAINE na mzizi mkuu wa janga hili.?
Kabla yakuakisi uharifu wao NATO Serbia, Iraq Afghanistan,
NATO na Marekani hawana haki wala mamlaka yakumuhukumu yeyote.

Ikiwa imezaliwa(NATO) kutokana na Vita baridi NATO haina kazi yeyote zaidi ya vita haijawahi na kamwe haitawahi kuchangia katika kuleta amani katika dunia yetu,
Watu wote wanaopenda amani lazima wataendelea kukataa upanuzi endelevu wa NATO (NATO expansion).View attachment 2164312View attachment 2164315View attachment 2164316
 
Tim Nato wanapita kimya kimya
 
hata kwenye familia lazima awepo kiongozi, otherwise kila mtu atakuwa kambale
Kiongozi kwenye familia sawa lakini kuna wakati kila mmoja hutoka na kwenda kuanzisha yakwake, chukulia wewe una kakaako mmekua tayari una familia yako na watoto alafu kwasababu kaka yako ndio mkubwa akupangie chakufanya kwenye familia yako. Kama tayari una family utajua nini namaanisha ila kama bado endelea na ushabiki huo
 
Raisi wa Serbia Aleksandar Vucic Jana usiku aliongoza maelfu ya wa Serbia katika KUMBUKIZI ya mauaji ya ndg na jamaa zao yaliyofanywa na NATO mwaka 1998.

Akihutubia Taifa Raisi wa Serbia alisema,
Miaka 23 iliyopita NATO ilifanya mashambulizi ya kikatiri, yakutisha na yasiyosameheka kwenye nchi ndogo ambayo haijavamia nchi nyingine au watu.

Katika mashambulizi hayo ubarozi wa China Ni miongoni mwa wahanga wa mashambulizi hayo.
Akihutubia vyombo vya habari msemaji wa wizara ya mambo ya nnje China alisema,

Mwaka 1999 March 24 vikosi vya NATO vikiongozwa na Marekani kwa wazi vilipuuza baraza la ulinzi la UN kwakuanza siku 78 zakuilipua kwa mabomu Yugoslavia nchi huru kwamakusudi wakipuuzia makubariano ya taratibu za kimataifa,
Mashambulizi 12000 YENYE vilipuzi tani 10000 Huku makombora 3000 yalilipuliwa yakil hienga kila kitu vifaa vya afya sehemu za kitamaduni shule na makazi.
Maelfu ya raia wasio na hatia waliuawa ikiwemo waandishi wa habari wa china.

Katika kampeni Yao yakuripua mabomu NATO walifyatua mabomu ya Uranium yaliyokataliwa katika makubariano yakimataifa hivyo kusababisha madhara ya muda mrefu yakiafya na mazingira.
Watu wa Serbia China na duniani kote hawatosahau kamwe ukatili huo wa NATO.

Ni Jambo la kujiuliza kama NATO wamejitafakari katika sual la UKRAINE na mzizi mkuu wa janga hili.?
Kabla yakuakisi uharifu wao NATO Serbia, Iraq Afghanistan,
NATO na Marekani hawana haki wala mamlaka yakumuhukumu yeyote.

Ikiwa imezaliwa(NATO) kutokana na Vita baridi NATO haina kazi yeyote zaidi ya vita haijawahi na kamwe haitawahi kuchangia katika kuleta amani katika dunia yetu,
Watu wote wanaopenda amani lazima wataendelea kukataa upanuzi endelevu wa NATO (NATO expansion).View attachment 2164312View attachment 2164315View attachment 2164316
Kabla ya hapo Vietnam, Cambodia, Laos, Guatemala, Cuba, El Salvador, Nicaragua na kuyumbisha demokrasia za bara lote la latin Amerika kutoka Brazil, Ajentina hadi Chile... achilia mbali nchi za mashariki ya kati zimeteketea kwa sababu zisizokuwa za msingi zaidi ya kutaka kutanua mamlaka yake ya kiuchumi. Roho za mamilionj zimeteketea kwa sababu ya mamlaka ya US dollar na uchumi wake.

Leo wanatoa wapi moral capital ya kujifanya mtetezi wa yeyote duniani?
 
Nani ana hiyo moral capital?? Iran?
 
Tushukuru kuwepo kwa Taifa la marekani na kusema thanks you America. Je urusi ingeshika hatamu ya Dunia vijana wangapi wangeswekwa kinguvu vijijini? Je uhuru wa kuabudu ungekuwepo?jamani muone uhweli wa mambo jinsi gani Urusi walitaka kusambaza sera za hovyo sana duniani. kwa nini wakimbizi wote duniani hukimbilia Ulaya magharibi, Israel na USA na hawataki kwenda Urusi? ushamuona msomali kakimbilia Urusi?
 
Back
Top Bottom