Nilikuwa mnywaji wa ndovu siku nyingi hadi ikabadilishwa hii mpya ya kijani. Ndovu ni nzuri.
Lakini kuna siku nilikuwa kwenye sherehe ndovu ikaisha nikapewa option ya Castle lite, sijaiacha tangu siku iyo. Ni Noma.
Basi iyo tasker malt nayo nimeinywa, ina kitu flani shakijakaa sawa, hata chupa haikuisha nikaagiza castle lite.
Back to your question Tusker malt vs Ndovu
Umepata jibu.