Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kifo ni mipango ya mwenyezi mungu na ugonjwa ni kitu cha kawaida sana kwa binadamu. Mimi mwenyewe nimepoteza Jirani, Ndugu, na marafiki mpaka idadi yake sasa ni kama 9 hivi, mmoja wapo alikuwa yule kijana Abel Machange. Kutoka hapa mpaka india ni gharama kubwa sana kwa familia, familia wanajikamua vijiakiba vyao na kulipia matibabu India kwa magojwa ambayo Madakatari wanajua kabisa no way kapona ama yanaweza kutiba hapa Tanzania, kwanini wanawapa referal wagonjwa ? Mimi naona watu wengi sana wanatoka hapa wamezidiwa wanaenda huko wanarudi tena kufia hapa nyumbani. mimi naomba selikari watoe orodha ya wagonjwa ambao wanaweza kwenda nje ya nchi kwa matibabu.
Mbona viongozi hawa watatu wametibiwa hapa Tanzania wanadunda sasa hivi mitaani? Tusiwadharau hawa wataalamu wetu, wamebobea Vibaya hovyo kwenye magonjwa kuliko hao wahindi wa india.
Please Pesa zetu zisitupelekee kuweka maisha yetu rehani uko katika nchi za watu.
Muhimbili pamoja na changamoto ni best Hospital.
Ni hayo tu kwa leo