Tusitishane, wewe kula, kunywa na ishi utakavyo, wote umri wetu wa kuishi haupishani sana

Inawezekana!!!

tapatalk_1580562081895.jpeg
 
Je, unakula kitimoto🐷🐖🐽? Je, wewe ni Msabato safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je, wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi 🥃🍻?
Je, wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto 🐷🐖🐽?

Amini nawaambia life span yet wote sawa. Wengi hufa kuanzia miaka 60. Wee jiachie tu.

Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.

Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto 🐷 🐖🐽, usile K, sijui usile nini, wewe kula tu.
Ila katika vyote,sigara ndo hatari,,,
Gongo yenyewe inarefusha maisha🌞🌞
 
Je, unakula kitimoto🐷🐖🐽? Je, wewe ni Msabato safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je, wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi 🥃🍻?
Je, wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto 🐷🐖🐽?

Amini nawaambia life span yet wote sawa. Wengi hufa kuanzia miaka 60. Wee jiachie tu.

Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.

Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto 🐷 🐖🐽, usile K, sijui usile nini, wewe kula tu.

Na pia ingekuwa hvyo kama hao watishaji wanavyosema wao wasiotumia hivyo vitu si wangekuwa wanagonga hata miaka 80 kwenda juu,ila wapiiii,wote sawa sawia
 
Over 60 Kama huna hela ni shider tupu
Ukiwa na mke anayekufariji, anayekujali, anayekupenda na kujuthamini, maisha utayaona Kama Paradiso hata ukiwa huna hela.
Kinyume na hapo, wewe mahela yako utamamani uzikwe hai.
Una mapesa kibao, mkeo anatembea na dereva wa bodaboda, hakujali, hakuheshimu, hakuthamini duhhhh ni shidaaa
 
😁😁😁 Bujibuji Tunaotumia haramu zote kitimoto pombe sigara widi wazee wa k na mtaro hiz ndio nyuzi zetu Sasa unakuta watu tunatishanaaa ooooh pombe sijui hivi ooooh as if Kuna mtu Ata kaa hapa mlele as long as Satan is out there nobody is safe

Nobody will last forever enjoy every moment that the definition of immortality no one is here to stay
 
Back
Top Bottom