Tusitishane, wewe kula, kunywa na ishi utakavyo, wote umri wetu wa kuishi haupishani sana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Je, unakula kitimoto🐷🐖🐽? Je, wewe ni Msabato safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je, wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi 🥃🍻?
Je, wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto 🐷🐖🐽?

Amini nawaambia life span yet wote sawa. Wengi hufa kuanzia miaka 60. Wee jiachie tu.

Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.

Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto 🐷 🐖🐽, usile K, sijui usile nini, wewe kula tu.
 
You made my day mkuu
Je, unakula kitimoto? Je, wewe ni Msabato safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je, wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi ?
Je, wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto ?
Amini nawaamboa life span yet wote sawa. Wengi hufa kuanzia miaka 60. Wee jiachie tu.

Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.

Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto , usile K, sijui usile nini, we kula tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, unakula kitimoto🐷🐖🐽? Je, wewe ni Msabato safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je, wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi 🥃🍻?
Je, wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto 🐷🐖🐽?
Amini nawaamboa life span yet wote sawa. Wengi hufa kuanzia miaka 60. Wee jiachie tu.

Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.

Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto 🐷 🐖🐽, usile K, sijui usile nini, we kula tu.
Mkuu Bujibuji there is life after death,kwahiyo ili uweze kwenda vizuri huko ni lazima uyatengeneze hapa kabla haujaondoka...
 
Watu wanaopenda kutishatisha wenzao huwa wana hulka za kishamba! Mwisho wa siku wote tutakufa tu. Tusitishane kama vipi!
 
Je, unakula kitimoto🐷🐖🐽? Je, wewe ni Msabato safi na hauvuti sigara, hunywi pombe, na huli haramu?
Je, wewe ni Muislam Safi na huli najisi yoyote, Wala hunywi 🥃🍻?
Je, wewe unavuta sigara, unakula K na kitimoto 🐷🐖🐽?
Amini nawaamboa life span yet wote sawa. Wengi hufa kuanzia miaka 60. Wee jiachie tu.

Kuna mzee mmoja alipigwa ngwala kimo Cha mbuzi na BASHITE, anakunywaga ngumu kumeza.... Mzimaaa wa Afya njema.

Salim A. Salim havuti, hanywi yaani Safi lakini afya ndio spana mkononi.
Hebu tusitishane sijui usinywe soda, usile chumvi, usile kitimoto 🐷 🐖🐽, usile K, sijui usile nini, we kula tu.

Hakuna anayekutisha. Ila ukifika muda wa kula chakula ambacho hakina chumvi wala usisumbue watu.
 
Back
Top Bottom