Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
- Thread starter
- #21
Ni wajibu wa kila Mtanzania kuwaonyesha hawa watu kwamba yeye sio mjinga, la sivyo ni mjinga kweli.Wanatufanya watanzania wajinga!!
Ni wajibu wa kila Mtanzania kuwaonyesha hawa watu kwamba yeye sio mjinga, la sivyo ni mjinga kweli.Wanatufanya watanzania wajinga!!
Siawaamini tenaTatizo kubwa la serikali hii ya awamu ya 5 ilikuwa imewaaminisha watanganyika kuwa ni serikali adui na ufisadi ndio maana hii kashfa ya upotevu wa billion 1500 umewachanganya kabisa kuanzia mawaziri, viongozi wa ccm na hata rais mwenyewe, hivyo wanataka kutumia njia halali na haramu kuuamisha umma kuwa hakuna tatizo lolote kuhusu report ya CAG
Kuna watu ambao wakitaka kuficha kitu walichokosea mara nyingi watatishia tu. Na mara nyingi hii ni tabia ya wanaume wanaopiga wake zao. Utakuta mke anapouliza jambo ambalo anajua amekosea anakuwa mkali sana, anatafuta kugeuza kosa kwa mkewe. Ndio maana hata akipiga mke anaishia kumfokea kuwa unanisababishia kila siku nikupige! Hii ndio serikali yetu, inaongoza katika hii mentality.Siawaamini tena
Huwezi kuelewa Mkuu. Na hapa wala huwezi kumlaumu CAG. Nimesema hapo juu, "Lakini nakwambia wazi sitegemei mtu kama Prof. Assad angeweza kufanya omission kama hiyo, au kusema hazijulikani zilipo, ikiwa zilitumika kulipa dhamana za serikali. Labda sio Prof. Assad ninaemfahamu"Watanzania bwana. Mwanzo mlisema CAG anasema ukweli ila wizara ya fedha na serikali kwa ujumla ndio waongo.
Sasa baada ya CAG kukanusha upuuzi wa Zitto mnamgeuka na kumjumuisha kwenye kundi la waongo.
Badilikeni aisee, hizi siasa nyepesi za kutafuta uhalali wa kumlaumu mtu au kundi la watu, haziwezi kukusaidieni, come 2020.
Wajinga ni nyinyi wachache ambao siku zote mnahisi mnaibiwa au kudhulumiwa.Wanatufanya watanzania wajinga!!
Kinachokera ni kitendo cha Zitto kuongea moja kwa moja kwamba wizi umefanyika, kumbe ni mambo ya kitaalam zaidi.Huwezi kuelewa Mkuu. Na hapa wala huwezi kumlaumu CAG. Nimesema hapo juu, "Lakini nakwambia wazi sitegemei mtu kama Prof. Assad angeweza kufanya omission kama hiyo, au kusema hazijulikani zilipo, ikiwa zilitumika kulipa dhamana za serikali. Labda sio Prof. Assad ninaemfahamu"
ZITTO RAISI WA KIGOMA SIYO KAMA SUGU. WAKIMSUMBUA TU CCM WOTE WALIOKO KIGOMA WATAJUA SEHEMU WALIKOTOKA.Duu, mchezo mchezo hivi hivi Mr Sugu yuko ndani....!Mr Zito atachoropoka hapa..?hofu yetu tu iwapo atashindwa kuthibitisha pasipo shaka kweli serikali imekwiba..!Yale mazoea ya kipindi cha nyuma enzi za awamu za nyuma zitawatokea puani waropokaji wote..!
ZZK ni winga mjanja mjanja,hajaongeza neno kwenye Ripoti ya CAG.Sasa utamfungaje?Duu, mchezo mchezo hivi hivi Mr Sugu yuko ndani....!Mr Zito atachoropoka hapa..?hofu yetu tu iwapo atashindwa kuthibitisha pasipo shaka kweli serikali imekwiba..!Yale mazoea ya kipindi cha nyuma enzi za awamu za nyuma zitawatokea puani waropokaji wote..!
Kamati ile ambayo Spika anampigia rais simu amwambie amuweke nani?Kamati ya Bunge imalize utata!
Ni Mara ya pili CAG anakanusha aliyoandika. Kwa hili ni yeye aliyewaambia wabunge wahoji wapi zilipo 1.5T.Watanzania bwana. Mwanzo mlisema CAG anasema ukweli ila wizara ya fedha na serikali kwa ujumla ndio waongo.
Sasa baada ya CAG kukanusha upuuzi wa Zitto mnamgeuka na kumjumuisha kwenye kundi la waongo.
Badilikeni aisee, hizi siasa nyepesi za kutafuta uhalali wa kumlaumu mtu au kundi la watu, haziwezi kukusaidieni, come 2020.