Tusisingizie watu, GAG na Serikali wanapaswa kulaumiwa kuhusu mkanganyo wa Trilioni 1.5, na huenda wanaficha ukweli

Haya majizi ya kihistoria ndiyo yanajinadi wazalendo.
Ukaguzi umefantika na ofisi inayotambulika kikatiba kwa masuala ya uhasibu yenye ma professional hasa na kuuona wizi wa hii awamu. Kazi yao kubwa ni kutaka kuficha maovu yao yaliyopindukia mipaka. Zile singo za akina JK na wenzake waliitafuna nchi na wa r angulizi wake na sasa nainyoosha zimefikia ukingoni.
Tafuteni jingine la kufichia udhaifu wenu wa kuitawala na sii tena ufisadi. Tumewashtukia ninyi awamu ya tano mbawazidi watangulizi wenu kwa mbali mno katika kufisadi.
 
Tatizo kubwa la serikali hii ya awamu ya 5 ilikuwa imewaaminisha watanganyika kuwa ni serikali adui na ufisadi ndio maana hii kashfa ya upotevu wa billion 1500 umewachanganya kabisa kuanzia mawaziri, viongozi wa ccm na hata rais mwenyewe, hivyo wanataka kutumia njia halali na haramu kuuamisha umma kuwa hakuna tatizo lolote kuhusu report ya CAG
Siawaamini tena
 
Siawaamini tena
Kuna watu ambao wakitaka kuficha kitu walichokosea mara nyingi watatishia tu. Na mara nyingi hii ni tabia ya wanaume wanaopiga wake zao. Utakuta mke anapouliza jambo ambalo anajua amekosea anakuwa mkali sana, anatafuta kugeuza kosa kwa mkewe. Ndio maana hata akipiga mke anaishia kumfokea kuwa unanisababishia kila siku nikupige! Hii ndio serikali yetu, inaongoza katika hii mentality.

Mke: "Mume wangu mbona umefanyia ulevi pesa ya chakula cha watoto"
Mume: "Weweeee, mjinga sana, kwanza hupiki chakula vizuri, unaharibu amani ya nyumba yetu. Nitakupiga mimi, nitakuweka vibao kila siku unanitibua na jana ulisonga ugali mbichi, huna mapenzi na nyumba hii, una wanaume nje"

Does that sound like a familiar person?
 
Watanzania bwana. Mwanzo mlisema CAG anasema ukweli ila wizara ya fedha na serikali kwa ujumla ndio waongo.

Sasa baada ya CAG kukanusha upuuzi wa Zitto mnamgeuka na kumjumuisha kwenye kundi la waongo.

Badilikeni aisee, hizi siasa nyepesi za kutafuta uhalali wa kumlaumu mtu au kundi la watu, haziwezi kukusaidieni, come 2020.
 
Huwezi kuelewa Mkuu. Na hapa wala huwezi kumlaumu CAG. Nimesema hapo juu, "Lakini nakwambia wazi sitegemei mtu kama Prof. Assad angeweza kufanya omission kama hiyo, au kusema hazijulikani zilipo, ikiwa zilitumika kulipa dhamana za serikali. Labda sio Prof. Assad ninaemfahamu"
 
Kinachokera ni kitendo cha Zitto kuongea moja kwa moja kwamba wizi umefanyika, kumbe ni mambo ya kitaalam zaidi.
 
Akijamba baba eti mpaka Amelia umemsikia mwanangu!

Ngoja ajambe mtoto....utasikia huna adabu ewe mtoto unatuchafulia hewa.
 
Kwa sababu kuna mkanganyiko wa hivi na Serikali hii ni malaika ionyeshe kwa takwimu nani aliivinsha hizo hati fungani na zikanunuliwa.

Kitendo cha kuchukua siku kadhaa kwa Serikali kujibu mpaka wajipange kitu walichokiwasilisha wenyewe kwa CAG na CAG mwenyewe kutamka pale Azam kauli ile ni hitimisho kuwa hela zimepigwa

Ila mzalendo feki anatafuta credibility kwenye "hati fungani kuiva" ambapo kulikuwa na ugumu gani kwa CAG kuandika hivyo kwenye ripoti yake au CAG ajibu si sheria kuweka wazi hayo matumizi kama matumizi ya Ikulu?

Shame on them.
 
Duu, mchezo mchezo hivi hivi Mr Sugu yuko ndani....!Mr Zito atachoropoka hapa..?hofu yetu tu iwapo atashindwa kuthibitisha pasipo shaka kweli serikali imekwiba..!Yale mazoea ya kipindi cha nyuma enzi za awamu za nyuma zitawatokea puani waropokaji wote..!
ZITTO RAISI WA KIGOMA SIYO KAMA SUGU. WAKIMSUMBUA TU CCM WOTE WALIOKO KIGOMA WATAJUA SEHEMU WALIKOTOKA.
 
Duu, mchezo mchezo hivi hivi Mr Sugu yuko ndani....!Mr Zito atachoropoka hapa..?hofu yetu tu iwapo atashindwa kuthibitisha pasipo shaka kweli serikali imekwiba..!Yale mazoea ya kipindi cha nyuma enzi za awamu za nyuma zitawatokea puani waropokaji wote..!
ZZK ni winga mjanja mjanja,hajaongeza neno kwenye Ripoti ya CAG.Sasa utamfungaje?
 
Watanzania bwana. Mwanzo mlisema CAG anasema ukweli ila wizara ya fedha na serikali kwa ujumla ndio waongo.

Sasa baada ya CAG kukanusha upuuzi wa Zitto mnamgeuka na kumjumuisha kwenye kundi la waongo.

Badilikeni aisee, hizi siasa nyepesi za kutafuta uhalali wa kumlaumu mtu au kundi la watu, haziwezi kukusaidieni, come 2020.
Ni Mara ya pili CAG anakanusha aliyoandika. Kwa hili ni yeye aliyewaambia wabunge wahoji wapi zilipo 1.5T.
 
Mi nnamshauri CAG ajiuzuru maana hakuna namna... Hawezi kujua vitabu uavijabalance halafu anasema hakuna tatzo... Pamoja nakwamba hakuna huru ikulu lkn apana kwa nn alikubali kwenda au alitekwa????
 
Maajabu ya viongozi wetu wanataka tuwe wazalendo Lakini tukihoji kuhusu matumizi ya mapato ya kodi zetu wanasema wachochezi. Hivi najiuliza uzalendo unaotamkwa ni upi?. Ni kuona hela zinatumika bila maelezo na kukaa kimya bila kuhoji?
 
Back
Top Bottom