Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.
 
Tulishasema,atakayehoji pesa na uongozi sisi kazi yetu ni kumwigamba tu. naona na wewe unga wa ndere umepungua kichwan na unaanza kuhoji.
 
Hujipendi ndugu yetu watakuja hapa na majina yao ya mamluki .
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Usisubiri majibu, anza mbele na matangazo. huna tofauti na juliana shonza na mtela mwampamba, nimekudharau sana. chapa mwendo lakini tutaikomboa nchi ili ufaidi maziwa na asali vipatikanavyo kwayo.
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Nenda mwenyewe na famlya yako japo naamini sio wote watakufuata,na lini ulikuwa mwana chadema?utoke ccm ukose pombe za msimu utakuwa umelogwa,tuachie mzik wetu tucheze wenyewe kaa pembeni ukushangirie.
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Mkuu umeisoma katiba?? Kaisome katiba ni muongozo wa chama.
 
Jitenge na kuwasemea wengine kwani naamini wakati unaweka uzi huu ulikuwa unafanya hivyo kwa matakwa yako binafsi,vinginevyo unatuaminisha kuwa ukikuwa ktk ki-corridor kile cha lumumba mnapojazana kama magunia ya viazi.Kwa maana hiyo basi usisubiri majibu ya ya hayo uliyoyoyataka ni vema kawahi buku 7 eti Mpambanaji.com!nyambaf
 
Utahama mwenyewe usitusemee mimi binafsi sidanganyiki sema kimwili ulikuwa chadema lakn moyo uko kwa magamba maana ndo wanaotoa hela kwa wingi
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.
Kete ya Mwisho ya kuimaliza CDM ni kutumia mamluki kugombea vyeo ya ki-utendaji ndani ya CDM
 
Utahama mwenyewe usitusemee mimi binafsi sidanganyiki sema kimwili ulikuwa chadema lakn moyo uko kwa magamba maana ndo wanaotoa hela kwa wingi

Kusema ukweli sisi wadmd wengi ni weupe kimkakati...kama tukiacha kupuuzia mambo basi tutakijennga chama vizuri ila tukipuuzia tutakua kama upepo uvumao.Ni vyema tutkakubali kwamba changamoto zipo na pia madhaifu yapo... lamsingi ni kuangalia namna ya kukabiliana nazo na sio majibu mepesi mepesi tuu... hapa tunaangalia uendelevu wa chama and its legitimacy not otherwise. Hivyo nategemea kupata majibu ya kujenga na sio hisia za makalio
 
TULIJUA TOKEA ZAMANI NGOMA YA WATOTO HAIKESHI,OLE WENU MURUHUSU DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA "kushney" sababu WACHAGA hawatakubali kupokonywa chama chao!!!!
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.
mpambanaji .com
===>Usaliti na unafiki ni kitu kibaya sana,ZZK moyoni mwake anajua anachokifanya na alichokifanya dhidi ya CDM
===>Soma hapa:Zitto ahusishwa na Rostam | Gazeti la MwanaHalisi
===>Angalia watu aliowasiliana nao huyu jamaa halafu pima na siasa za tanzania,then jiulize mtu kama huyu utamhusisha na kitu gani cha chama?
 
Last edited by a moderator:
mpambanaji .com
===>usaliti na unafiki ni kitu kibaya sana,zzk moyoni mwake anajua anachokifanya na alichokifanya dhidi ya cdm
===>soma hapa:zitto ahusishwa na rostam | gazeti la mwanahalisi
===>angalia watu aliowasiliana nao huyu jamaa halafu pima na siasa za tanzania,then jiulize mtu kama huyu utamhusisha na kitu gani cha chama?

kati ya wote wewe ndio wanajf uliyeanza shusha vilelezo acha na hawa waropokaji wa kudandia mada then hawafunguki... Good mkuu
 
kwann uwazungumzie wengine?sema wewe uatjitoa,wengi ndio akina nani?halafu unasema chama kina uwezo wa kujenga jengo lake/ofisi na pia kuwa na ofisi kila mkoa; sasa nikuulize maswali yafutayo:-
1. Je unajua chama kinapokea ruzuku kiasi gani kwa mwezi?je katika hiyo ruzuku operating expenses kama mishahara,shughuli za kujenga chama na mengineyo zinatosha,je chenji inabakia kwa kujenga ofisi ya makao makuu na mikani?

2.Unasema unataka upewe majibu ya mambo yanayozungumzwa mitanadoni,magazetini na kwingineko,mambo gani hayo mbona hujayataja au wewe pia ni mdaku?

3.Unasema naibu katibu mkuu apewe nafasi yake kama katibu mkuu,je unajua majukumu ya naibu katibu mkuu?na je yeye naibu katibu amewahi kulalamika kuwa ananyimwa kufanya kazi zake?au wewe ndio wale wasiopenda changamoto za kiuongozi au pia ndio wale wenye kuamini CHADEMA itakufa kwa maneno yenu,chuki zenu,propaganda zenu na umafia wenu?

Kabla hujajibu hayo jipime mwenyewe na ujione kama kweli wewe ni mtu sahihi kuyasema hayo uliyoyasema na je upo kundi lipi,WAJENGAJI AU WABOMOAJI?

VIVA CCM,VIVA CHADEMA,VIVA ALL OPPOSITION PARTS.
 
ni bora usepe tu tena fasta.....hatutaki wanachama wepesi wa fikra
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

wewe na nani?wewe ni nani ndani ya CHADEMA?Zitto hapewi nafasi gani?mbona unachefua watu mida hii ya lunch?
 
Back
Top Bottom