nyamva
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 244
- 155
Mi ni mwajiriwa wa serikali mwenye miaka minane kazini. ktk miaka hiyo nimefanikiwa kujenga kijumba na kupata kausafiri. Yote Hii ni zao la mikopo ya mabenki. Kinachonitatiza ni wakati mwingine kupata mshahara mdogo zaidi
ambao unanipa muda mwingi kufikiria namna ya kujikimu kwa mwezi. Ni ushauri nawasilisha bandugu.
ambao unanipa muda mwingi kufikiria namna ya kujikimu kwa mwezi. Ni ushauri nawasilisha bandugu.