Ukitaka kujua pombe hukufanya uwe huru basi jiulize kwanini mtu mzima ulikuwa unaogopa au unaona aibu kucheza mziki? Wakati ile kucheza mziki ni faida kwa afya yako kama vile kwenda Gym kupiga zoezi tena hii unafurahia zaidi kuliko gym ni adhabu flani unajipa.