DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Mitandao ina faida kubwa sana kwenye biashara na wafanyabiashara wengi wameziona fursa ila kwa mtumiaji wa kawaida hasara ni nyingi kuliko faida maana lengo kuu la social media halipo tena.
Ukiangalia upande wa content creators, wao wanafanya kazi ya kuburudisha, kuelimisha, na kupitia huko wanapata endorsement deals, kupitia wao biashara zinatangazwa n.k. lakini ukija kumuangalia consumer ana-trade time na focus yake kwenye vitu visivyo na msingi.
Washindi kwenye social media kwa sasa ni, Tech companies, ISP, na content creators. Consumers wanapoteza muda tu kwasababu, ukitaka educational content zipo YouTube, ukitaka entertainment zipo YouTube na streaming platforms, connecting ipo WhatsApp, news & information zipo website, shopping zipo websites za ndani na za kimataifa.
Social media imekuwa kama sehemu ya entertainment zaidi kuliko mawasiliano.
Mitandao inasaidia Sana ndo maana wewe mwenyewe upo hapa unatumia JF
Hili sio jukwaa ni mtandao wa kijamii ambao unawakutanisha watu pamoja na kutoa mawazo yao , taarifa , fursa , ajira n.k
Kitu ambacho kinawatesa watu weusi ni kuwa na uelewa mdogo katika mambo ya msingi .
Nakumbuka kuna Mwalimu alikuwa anatukana watumiaji wa mitandao na kusahau kuwa kwa sasa kuna walimu Kama yeye they make a lot of money kwa kuuza mawazo yao mitandaoni .
Kwahiyo ikiwa hauelewi mambo haya utahisi Consumers wanakosea n.k
Hakuna anayekosea Ila MTU hufata mambo yanayoendana na akili yake
Wengine husema mitandao ni Kama MTO wapo wanaovua samaki na wapo wanaoliwa na mamba.