DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
YEP Kamanda lazima uwe na unlimited ya ukwl ili uweze faidi hizi mambo.Mkuu unapostream kupitia mypremium.tv hupati taabu? Maana nilikua naitumia kipindi fulani, lakini picha zake zinavibrate kwa mbali, kitu ambacho kinaumiza macho sana. Uzuri wa kucheki soccer online,kwanza uwe na net yenye speed, pili upate sites zinazoonyesha live tv online legally,na hapa utalazimika kulipia.Ngarama sio kubwa, challenge ni cost za bundles. Kwa mfano, hawa jamaa wa futubox,kiukweli wako vizuri,unapata TVs nyingi za sports,movies etc for only Tsh. 17,000/ per month. Ingawa kuna some limitation ya eneo uliopo lakini si sana.Binafsi nimejiregister na kiukweli si tu AFCON bali hata EPL ya zile game nzito naangalia kupitia kwao kwa channel skysport 1 and 2. Min net speed iwe 5Mbps for HD Contents and 2Mbps for SD Contents.
Haswaa kwasasa haina ule mtetemo wa madogori yaani kitu smooth hazina mkwamo kwamo kama Startime, wanaotumia mashuhuda.mbona kwa sasa ipo mzuka mkuu picture ni semi hd sky sport zote 1234 zinapiga mzigo BobKinguti
wakuu bobkinguti devuquarter-devukota shaffin simbamwene msaada wa net tafadhali maana hivi vibundle longo longo
jiunge na megaboksi ya mwezi mzima
mbona megaboksi ina limit baada ya kama mb kadhaa hutoweza kudownload wala kustream online ila utaendelea kusurf mwezi mzima.
YEP Kamanda lazima uwe na unlimited ya ukwl ili uweze faidi hizi mambo.
hachana na za malipo kamata MyPremium.TV au http://wwitv.com/sports/index.htmlndo mpango mzima kaka mie naenjoy net ya wale jamaa zangu wananii!!
sijui kina Paje hivyo ving'amuzi vyenu vya Tunna Gundu vinakamata hizi mavitu vitu?
Haswaa kwasasa haina ule mtetemo wa madogori yaani kitu smooth hazina mkwamo kwamo kama Startime, wanaotumia mashuhuda.
Ayaaah....Ona sasa....!!!
Umeishaanza yale mambo yako ya kipindi kileeeee....
Sijui utakua lini wewe. Haki'anani akili za <18 burudani sana.
Hapa usitegemee kupata chochote Kamanda ww nenda kwa Paje unatiane na Gururain
Anyway,najua unaelewa ni basi tu hutaki kukubali kama umekoea.Ila usisahau ulianza hivi hivi kwenye ule mchakato wa hewatel wa saa,remember? Na hiki unachokifanya hapa kwa kutaka kujiona wewe mjanja hakitakufikisha popote.Ningekuona wa maana kama ugetambua ulipokosea ukasahihisha.By the way umenufaika nini kwa hizo kauli ulizotoa hapo juu au ungepungukiwa nini kama ungeishia tu kutoa wesites za hizo tv?
Fikiria...
Mkuu nimejaribu kutembelea hizo link mbili ulizotoa,kiukweli kwa mimi ambaye nimeshaonja ladha ya hizo za kulipia, naona bado ziko katika poor quality.Jipange siku moja ujaribu hao jamaa wa futubox, uone ladha yake.YEP Kamanda lazima uwe na unlimited ya ukwl ili uweze faidi hizi mambo.
hachana na za malipo kamata MyPremium.TV au http://wwitv.com/sports/index.htmlndo mpango mzima kaka mie naenjoy net ya wale jamaa zangu wananii!!
sijui kina Paje hivyo ving'amuzi vyenu vya Tunna Gundu vinakamata hizi mavitu vitu?
Haswaa kwasasa haina ule mtetemo wa madogori yaani kitu smooth hazina mkwamo kwamo kama Startime, wanaotumia mashuhuda.
Tumia megaboksi kaka, kwasasa nadhani ndio cheap na speed iko poa. Ingawa maeneo mengine wadau wanalalamika speed iko chini sana. Sielewi kwanini wanabagua maeneo.wakuu BobKinguti DEVUQUARTER-DEVUKOTA shaffin simbamwene msaada wa net tafadhali maana hivi vibundle longo longo
Mkuu nimejaribu kutembelea hizo link mbili ulizotoa,kiukweli kwa mimi ambaye nimeshaonja ladha ya hizo za kulipia, naona bado ziko katika poor quality.Jipange siku moja ujaribu hao jamaa wa futubox, uone ladha yake.
hii inaambatana vituo gani vingine?oromia tv at 16e, ortb tv at 4.8e nk.
Njooni kwangu nina tv asilia.
Kutoka Loliondo kwa Babu Ambilikile Mwasapile
ni kweli kaka,uko sahihi.kamanda ni kweli vya kulipia vina raha yake.....ila sidhani kama wote watamudu kulipia futuhi-box wakati wengi tunategemea e2themiza chief-mkwawa paje na wengineo wafanye mauzauza tupate net na weingine wanavizia ile ya kubundi "wajinga night" so hatutamudu hilo box la futuhi.
Msaada mzuri ni kutafuta zile za free zenye ubora wa kuridhisha kama hizi:-
time 4 tv - its time for watching free tv streams
eurosport - watch free live online tv channels
eurosport hd live online stream - british uk
live sports | live sports streaming | live football stream
tvfeeds | browse live tv
firstrowsports.com....Ndo komesha