DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
YEP Kamanda lazima uwe na unlimited ya ukwl ili uweze faidi hizi mambo.Mkuu unapostream kupitia mypremium.tv hupati taabu? Maana nilikua naitumia kipindi fulani, lakini picha zake zinavibrate kwa mbali, kitu ambacho kinaumiza macho sana. Uzuri wa kucheki soccer online,kwanza uwe na net yenye speed, pili upate sites zinazoonyesha live tv online legally,na hapa utalazimika kulipia.Ngarama sio kubwa, challenge ni cost za bundles. Kwa mfano, hawa jamaa wa futubox,kiukweli wako vizuri,unapata TVs nyingi za sports,movies etc for only Tsh. 17,000/ per month. Ingawa kuna some limitation ya eneo uliopo lakini si sana.Binafsi nimejiregister na kiukweli si tu AFCON bali hata EPL ya zile game nzito naangalia kupitia kwao kwa channel skysport 1 and 2. Min net speed iwe 5Mbps for HD Contents and 2Mbps for SD Contents.
hachana na za malipo kamata MyPremium.TV au http://wwitv.com/sports/index.html ndo mpango mzima kaka mie naenjoy net ya wale jamaa zangu wananii!!
sijui kina Paje hivyo ving'amuzi vyenu vya Tunna Gundu vinakamata hizi mavitu vitu?
Haswaa kwasasa haina ule mtetemo wa madogori yaani kitu smooth hazina mkwamo kwamo kama Startime, wanaotumia mashuhuda.mbona kwa sasa ipo mzuka mkuu picture ni semi hd sky sport zote 1234 zinapiga mzigo BobKinguti