Tusiokuwa na Ajira Soma Hapa

Tusiokuwa na Ajira Soma Hapa

cha msingi mm naona serikal iweke kuajiriwa mwisho miaka 15 kukaa kazin, ili wapishe na wengine kutafuta mitaji,may be itaweza pumguza ili tatizo kwa vijana
 
Mie natamani tuungane tujikite kwenye kilimo na hapo ndipo serikali itatusikia,tuwe na mbinu mbadala kujiajiri kuliko kulia na ajira na waliopo kwenye ajira hawataki kutoka.
Hakika nawaambia bila kuwa na umoja miaka itakatika bila kufanya lolote. Kwanini tusiungane?
Mie binafsi sijawahi kuajiriwa na sifikirii kwa maana najua hawataweza kunilipa zaidi ya nipatacho sasa ila nataka kuunganisha nguvu kujitanua zaidi na kuwapa wengine ujasiri na fursa kuangalia mbadala zaidi ya ajira rasmi

vijana siku hizi hawataki kulima wengi wamekimbilia kuendesha bodaboda
 
badala ya kufanya maandamano tunatakiwa kukusanyika kwa pamoja na kuanzisha kampuni ya wote waliokosa ajira kulingana na elimu zetu na tuache kulalamikia watu wenye makampuni yao li watupe ajira,
 
Mie natamani tuungane tujikite kwenye kilimo na hapo ndipo serikali itatusikia,tuwe na mbinu mbadala kujiajiri kuliko kulia na ajira na waliopo kwenye ajira hawataki kutoka.
Hakika nawaambia bila kuwa na umoja miaka itakatika bila kufanya lolote. Kwanini tusiungane?
Mie binafsi sijawahi kuajiriwa na sifikirii kwa maana najua hawataweza kunilipa zaidi ya nipatacho sasa ila nataka kuunganisha nguvu kujitanua zaidi na kuwapa wengine ujasiri na fursa kuangalia mbadala zaidi ya ajira rasmi
Kilimo
ni wazo zuri ila issue ni kupata mtaji wa kuanzia hiyo kazi
 
badala ya kufanya maandamano tunatakiwa kukusanyika kwa pamoja na kuanzisha kampuni ya wote waliokosa ajira kulingana na elimu zetu na tuache kulalamikia watu wenye makampuni yao li watupe ajira,

hapo umenena.
 
MAANDAMANO SIO TIJA
tupo watU kbaoo mtaani na ajira ni chache sana
 
Tatizo ninaloliona kwa wasomi wetu ni kufikiria kuajiriwa tu badala ya kufikiria kujiajiri. Ni kweli mtaajiriwa lakini nadhani focus kubwa hata kwa mitaala ya elimu yetu iwajenge wasomi kuwa na fikra za kujiajiri kuliko kusubiri kuajiriwa tu. Hata mkiandamana, kama Serikali haina uwezo wa kuwaajiri mtapata nini sasa?
 
Cha msingi wadau,ni kuungana na kutengeneza vikundi,mikopo inatolewa kwenye vikundi,baada ya hapo ni kujiajiri.ajira ni janga la kitaifa,bora kujiajiri kupunguza msongamano.embu cheki mfano kule nigeria,zilitangazwa nafasi uhamiaji,wakajitokeza maelfu kwenye usahili,kitu kilichopelekea vifo kwa baadhi ya waombaji.mnaona mziki huo?
 
Back
Top Bottom