mwanazuoni2
Member
- Mar 29, 2014
- 13
- 10
Ndugu zangu tatizo la ajira tanzania sasa hivi limekuwa kubwa sana inaeza tangazwa nafasi moja waka-apply watu alfu mbili. Sasa mimi nilikuwa na wazo kwa nini tusianzishe maandamano ya wasiokuwa na ajira especially sie tuliopo Dar-es-salaam ili serikali na sector binafsi zipate pressure ya kutusikiliza na tuone tunatatua vp ili suala.
Tukikaa kimya umri unaenda huo. Ili bomu la ajira ndio muda muafaka kulipuka.
Nawasilisha
Tukikaa kimya umri unaenda huo. Ili bomu la ajira ndio muda muafaka kulipuka.
Nawasilisha