TUSIO NA MAGARI

wanatupausha sana aisee
 
Wasi wasi wako tu! Madem wengi siku hizi wanapanda Boda boda. Hata ukimwambia achukue boda boda aje huyo mtoto mzuri anaibukga getto. Tofauti na zamani ilikuwa ni mwendo wa taxi...
 
Jamani vingine mnatusingizia hivi ni kweli kila mwanamke anashobokea gari?? Mbona tunaridhika na hali zetu.?

Kila ndoto ya mwanamke ni kumiliki gari lake sio kushobokea ya wanaume.
 
kwa taarifa yako siku hizi asilimia kubwa wanawake na wadada wanamiliki magari yao wenyewe shoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…