Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,092
MishaharaJibu hoja achana na mleta hoja
wewe wafanyakazi hewa na wale wa fake na waliozidi umri MSHAHARA BADO ULEULE
KODI ZOTE bei ya sukari. unga mchele, nauli bado ni palepale sawa na Mkwere
yaani huoni tunakoelekea?
Hofu imetanda kote hakuna siasa wala majukwaa iwe Chama kikuu au upinzani sas tumekuwa Zimbabwe?