Tusingempata Magufuli Taifa lilikuwa linazama na kupotea!

Jibu hoja achana na mleta hoja
Mishahara
wewe wafanyakazi hewa na wale wa fake na waliozidi umri MSHAHARA BADO ULEULE
KODI ZOTE bei ya sukari. unga mchele, nauli bado ni palepale sawa na Mkwere
yaani huoni tunakoelekea?
Hofu imetanda kote hakuna siasa wala majukwaa iwe Chama kikuu au upinzani sas tumekuwa Zimbabwe?
 
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.

Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.

Taifa letu likifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.

Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.

Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.

Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.

Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.

Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.

Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.

Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.

Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.

Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.

Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.

Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
Ni kweli kabisa, taifa lilikuwa linaanhamia. Watu walishajiuzia nyumba za serikali kwa bei ya kutupa. Halafu Waziri wa Ujenzi wakati ule akakubali ununuzi wa MV Dar es salaam kwa sh8 billion na mpaka Leo haifanyi kazi. Nchi mpaka leo imeoza kwa ufisadi
 
Yap bila maghufuli nchi ilikuwa inazama hii...ngoja ainyooshe kwanza af awaachie nchi yenu...mpate mnavyovihtaji kenge nyie
 
Nguvu yote ya kumpamba ya nini? Mnawasiwasi gani? Nguvu yote ya nini
 
Kama anayoamua na kutenda yanaleta maendeleo ya Taifa letu kiuchumi, kisiasa na kijamii yataonekana wazi; kwanini kuhangaika kukanusha matamko na kulazimisha aungwe mkono kila kukicha!!??
 
Nimeona mahali umesema magufuli anaturudisha nyuma katika muktadha wa kisasa..hakuna kurudi nyuma kwa zamani na kwa kisasa kufulia ni kufulia
 
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.

Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.

Taifa letu likifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.

Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.

Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.

Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.

Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.

Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.

Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.

Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.

Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.

Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.

Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.

Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
This is a joke and total confusion, hivi hujionei aibu kwa uliyoandika? Hata Mugabe ailamini hivi hivi kama ulivyo wewe.
 
Ni kweli kabisa, taifa lilikuwa linaanhamia. Watu walishajiuzia nyumba za serikali kwa bei ya kutupa. Halafu Waziri wa Ujenzi wakati ule akakubali ununuzi wa MV Dar es salaam kwa sh8 billion na mpaka Leo haifanyi kazi. Nchi mpaka leo imeoza kwa ufisadi
Chini ya usimamizi wa waziri mkuu Sumaye
 
Jibu hoja achana na mleta hoja
Huna ulijualo na it's better if you go back to your civics teacher.
Eti wanyonge! Labda wewe unayekula na kulala kwake. Learn to stand alone and from there people will name you as a MAN!
Na huu udhalilishaji wenu wa kuwaita wengine wanyonge na maskini pelekeni huko kanda ya ziwa.
Kwa taarifa yako tu, ukombozi ulipatikana kitambo na utajiri wa aina yoyote hufuata njia tuliyokuwa nayo kabla ya 2015. Hatuikwepi njia ile kwani hata ccm mnanadi sera ya viwanda ambavyo vingi ni vya hao mnaowabatiza jina la ufisadi. Jitambueni ninyi mnaolishwa bila kutafakari.
 
Jibu hoja achana na mleta hoja

Mkuu hebu tuambie hizo sifa zote mbona mgao wa umeme umerudi kwa kasi? Sasa ndio tunaanza kuona picha halisi ya awamu ya 5. Kilichokuwa kinaendelea ni kumalizia masalia ya awamu ya 4. Kipimo halisi cha mwanzo ni hili la umeme.
 
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.

Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.

Taifa letu lilifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.

Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.

Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.

Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.

Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.

Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.

Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.

Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.

Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.

Rais Magufuli analiendesha Taifa katika kipindi ambacho kuna wasomi wengi na ambao baadhi wamemezeshwa sumu ya kimagharibi.

Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.

Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.

Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
Tanzania ingekuwa kama Zaire. Rais Magufuli ni jasiri sana katika kuchukua maamuzi Mungu Ambariki.
 
Back
Top Bottom