Tusimdanganye Rais kwa uzembe wa aina hii.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,206
Reaction score
25,399
Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.

Yote kwa yote haiingii akili bado, kwa hilo sanamu, hapa najaribu kuweka tofauti kwa kituko nilichokiona na nyingine iliyopatikana.
IMG_20190710_184904.jpg

Hii 👆 na hii 👇 nani anafaa kutumiwa?
IMG_20190710_190156.jpg

Moderator angalia content usiunganishe uzi tafadhali.
 
Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.

Yote kwa yote haiingii akili bado, kwa hilo sanamu, hapa najaribu kuweka tofauti kwa kituko nilichokiona na nyingine iliyopatikana.View attachment 1150754
Hii 👆 na hii 👇 nani anafaa kutumiwa?
View attachment 1150758

Baba wa Taifa hajawahi kamwe kukunja uso kiasi hicho wala hajawahi kuvaa fulana hadharani kamwe hajawahi kuvaa bangili shingoni mithili ya mmasai
 
Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.

Yote kwa yote haiingii akili bado, kwa hilo sanamu, hapa najaribu kuweka tofauti kwa kituko nilichokiona na nyingine iliyopatikana.View attachment 1150754
Hii 👆 na hii 👇 nani anafaa kutumiwa?
View attachment 1150758

Moderator angalia content usiunganishe uzi tafadhali.
Mkuu umechanganya, hio ya juu ni sanamu ya Nyerere ya chini ya Babu yangu.
 
Hilo sanamu lao FAKE la Baba wa Taifa warudishe mamilioni ya walalahoi waliyoyapiga. Hatuwezi kulikuba sanamu FAKE lisilo fanana hata chembe na Baba wa Taifa.

Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.

Yote kwa yote haiingii akili bado, kwa hilo sanamu, hapa najaribu kuweka tofauti kwa kituko nilichokiona na nyingine iliyopatikana.View attachment 1150754
Hii 👆 na hii 👇 nani anafaa kutumiwa?
View attachment 1150758

Moderator angalia content usiunganishe uzi tafadhali.
 
Hii inatokea pale ambapo ndugu yako ni fundi seremala na wewe ndiyo umepewa kazi ya kutafuta mchonga kinyago
:hivi hata kinyago si unaweza kuchonga tu
Basi tuchongee kinyago cha nyerere
Matokeo ndiyo hayo
 
Back
Top Bottom