johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Unaweza kurudia maneno hayo hayo kuhusu Magufuli nione kweli unayaamini kutoka moyoni na si michezo ya kisiasa tu?Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu hapa namzungumzia CAG!Unaweza kurudia maneno hayo hayo kuhusu Magufuli nione kweli unayaamini kutoka moyoni na si michezo ya kisiasa tu?
Najua unazungumzia CAG.Mkuu hapa namzungumzia CAG!
Mkuu Chadema kila iitwapo leo wanamshambulia Dr Magufuli hapa mtandaoni au huwaoni kamanda?!Najua unazungumzia CAG.
Unaweza kumzungumzia Magufuli hivyo hivyo?
Ukishindwa hilo, nitaona unamlenga CAG kwa sababu zako za kisiasa tu, huna imani ya ndani kabisa kwamba kusema mtu yeyote asiguswe kama "Mungu" ni kitu kibaya.
Unaamini kwamba kusema mtu yeyote asiguswe kama "Mungu", akiwamo Magufuli, ni kitu kibaya?
Au unaamini hili kwa CAG tu? Kwa Magufuli unaachana na imani hiyo?
Unaweza kurudia maneno hayo hayo kuhusu Magufuli nione kweli unayaamini kutoka moyoni na si michezo ya kisiasa tu?
Mkuu Chadema kila iitwapo leo wanamshambulia Dr Magufuli hapa mtandaoni au huwaoni kamanda?!
Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo magufuli ni mkamilifu,hakoseagi?Mkuu hapa namzungumzia CAG!
Wewe ku*guni unatuharibia jukwaa letu kwa kutetea kila uovu na upuuzi wa awamu hii japo upo kibaruaniNatoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Natoa tu angalizo maana kuna watu hapa wanatamani Controller and Auditor General asiguswe kwa lolote.
Nasema hilo haliwezekani maana CAG ni cheo kinachobebwa na mtu na wala siyo Mungu kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kuwa na mapungufu au wasaidizi wake tena ya kibinaadamu kabisa.
Kwa mfano kuna wizara, idara na taasisi nyingi za serikali ambazo zimepewa bajeti kidogo ukilinganisha na mwaka jana lakini watu wanamuona CAG pekee. Tena wengi wanaona ama ameonewa au anafanyiwa figisu za hujuma.
Watanzania tunaelekea wapi jamani, binafsi namkubali sana CAG wa sasa Alhaj Prof Assad lakini hiyo hainifanyi nimuone ni zaidi ya binadamu wengine.
Ni ukweli anaitendea haki dhamana yake lakini ni lazima tukubali kuwa ofisi yake ni ya kawaida tu kama zilivyo ofisi nyingine za serikali.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Sijawauliza CHADEMA, nimekuuliza wewe.Mkuu Chadema kila iitwapo leo wanamshambulia Dr Magufuli hapa mtandaoni au huwaoni kamanda?!
Asante mkuu, kuna wakati wa kukaa kimya na wakati wa kusema, "kitabu kizuri" kilisema 🙂Mie nimefurahi sana kukusoma humu. Karibu tena.