Tusikilize hotuba ya Zanzibar au Shinyanga!?

Tusikilize hotuba ya Zanzibar au Shinyanga!?

Nitakua nafutilia walivyojibiwa waanga Bukoba na kumuombea Lema
 
kwani wote watahutubia wakati mmoja? mimi mtanganyika nitamsikiliza rais wangu.
 
3baebeb03e78d58e6f7bca82c2180d1e.jpg
Asante
 
Dr shein leo atakua mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya mapinduzi ya znz pia atalihutubia taifa. Rais wa nchi atakua shng nae pia atalihutubia taifa kwa sherehe hiyohiyo. Hii imekaaje!?
Sina uhakika kama zitagongana mda, sherehe za mapinduzi huu ndo mda wake na hotuba za mkuu wa nchi kwenye ziara mara nyingi zinaanza arasili.
Ikitokea zimegongana kwangu mimi nitamsikiliza Raisi wa nchi, after all ndiye naye mkubali zaidi.
 
Dr shein leo atakua mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya mapinduzi ya znz pia atalihutubia taifa. Rais wa nchi atakua shng nae pia atalihutubia taifa kwa sherehe hiyohiyo. Hii imekaaje!?

Unamaanisha JPM hatakuwa pale Zanzibar kwenye sherehe kwa mara ya kwanza kwa Rais wa JMT kutohudhuria kwenye zile sherehe? na badala yake atakuwa huko shinyanga kuendelea kutangaza hakuna njaa Tz??
 
Rais JPM hapendi kuwa chini ya mtu.Akienda Zenj kiitifaki atakuwa chini ya Shein
 
Kama uko Zanzibar sikiliza ya huko, la uko Tanganyika sikiliza ya Tanganyika shida hapo iko wapi, huoni au huelewi kipi?
 
Mkiambiwa mmeifanya Zanzibar kua koloni la tanganyika hamtaki.kilicho mzuia magu kwenda unguja nini?,shein anajisikiaje kwa haya au ndo mbuzi wa bwana heri na shamba ni la bwana heri.
 
ITV wameungana na TBC kurusha live matangazo ya sherehe za mapinduzi, sasa muonekano wake sio mzuri kabisa Azam two wapo na Clouds TV hii iko vizuri. StarTv wao wanaonyesha ya Shinyanga.sasa nawashangaa hawa clouds Tv badala ya kwenda shinyanga live wao wako ZNZ.
 
Eti kila mtu abebe msalaba wake,hivi nchi haiwezi kuuzwa kila mtu apate mgao wake akatafute pa kuishi?
 
Achana nao watakuaribia mood yako kama jana nchi haina njaa wala ukame na sitoi chakula cha msaada fanyeni kazi.
 
Back
Top Bottom