Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Bora kuangalia CNN na kumuangalia Trump kuliko kuwasikiliza hao
Tumsikilize Lissu ana laamana la kuongea kuliko mengine yote
Bora kuangalia CNN na kumuangalia Trump kuliko kuwasikiliza hao
Mbona namuona JPM zenj?Dr shein leo atakua mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya mapinduzi ya znz pia atalihutubia taifa. Rais wa nchi atakua shng nae pia atalihutubia taifa kwa sherehe hiyohiyo. Hii imekaaje!?
Ndo ilivyokaa.Dr shein leo atakua mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya mapinduzi ya znz pia atalihutubia taifa. Rais wa nchi atakua shng nae pia atalihutubia taifa kwa sherehe hiyohiyo. Hii imekaaje!?
Kesho amkia kwa optician harakaMbona namuona JPM zenj?
Pole...mama kuna dozi zingine ni nzito hasa hizi zenye ukweliBora niangalie katuni asije nivuruga kama jana
Kwenye civics wanafundshwa kazi mojawapo ya president ni kuwa commander in chief. Pia nadhan ni hilo ni jukumu la rais yoyote pale anapokuwa kiongozi mkuu wa serikali.
Tunajua kwamba rais wa zanzibar anaongoza serikali ya visiwani zanzibar na hana mamlaka ya kutoa amri juu ya jeshi la nchi hii. Je kule zanzibar wanafunz wanafundshwaje hicho kipengele kinachohusu uamiri jeshi mkuu??
Dr shein leo atakua mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya mapinduzi ya znz pia atalihutubia taifa. Rais wa nchi atakua shng nae pia atalihutubia taifa kwa sherehe hiyohiyo. Hii imekaaje!?
Ha ha ha kweli, naona kesha fika shy anachana ukweli. Hapepesi machoKesho amkia kwa optician haraka
Unaposema rais unamaanisha nini wakati Zanzibar nalo ni taifa ambalo lina rais,bendera,wimbo wa taifa n.k. Wakati rais Dr Shein akitoka kukagua gwaride la leo nimemsikia mtangazaji wa TBC Hafidh Kasim akitaja neno "TANGANYIKA" alipokuwa anaelezea kuhusiana na gwaride la kimya kimya.
naombeni wimbo wa taifa zanzibar