The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,909
- 2,889
Dr shein leo atakua mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya mapinduzi ya znz pia atalihutubia taifa. Rais wa nchi atakua shng nae pia atalihutubia taifa kwa sherehe hiyohiyo. Hii imekaaje!?
Unaposema rais unamaanisha nini wakati Zanzibar nalo ni taifa ambalo lina rais,bendera,wimbo wa taifa n.k. Wakati rais Dr Shein akitoka kukagua gwaride la leo nimemsikia mtangazaji wa TBC Hafidh Kasim akitaja neno "TANGANYIKA" alipokuwa anaelezea kuhusiana na gwaride la kimya kimya.Kwn Raic wa nch yk wp ckliz Raic alko
Yeah trueKuna kitu hakipo sawa hapa. Umoja wa kitaifa unaweza kuanza kumomonyoka kwa sababu ya mipangilio kama hii.
Brother Bob yeye kila kitu anajua ndio maana Ana fanya anachojisikia hii inaitwa shein beba msalaba wakoKuna kitu hakipo sawa hapa. Umoja wa kitaifa unaweza kuanza kumomonyoka kwa sababu ya mipangilio kama hii.
SIKILIZA ZOTEKama wewe ni Mtanganyika ya Zanzibar hayakuhusu mkuu
Bora niangalie katuni asije nivuruga kama jana