Tusikilizane Wanasimba wenzangu

Tusikilizane Wanasimba wenzangu

Tudiscuss nini sasa mkuu..kwanza pole najua maisha magumu...tudiscuss Martha kariua , chaumma, g55 , wanaharakati , akaunti ya jeshi la Polisi kudukuliwa, chagua hapo...
Maisha magumu labda kwako Mkuu! Kama hauna cha muhimu cha kudiscuss Bora utulie
 
Maisha magumu labda kwako Mkuu! Kama hauna cha muhimu cha kudiscuss Bora utulie
Wewe una maisha magumu ndio mana unatukana ovyo. Sasa nimekuuliza kati ya niliyoyaorodhesha hapo chagua kimoja tuanze ku discuss...
 
Wewe una maisha magumu ndio mana unatukana ovyo. Sasa nimekuuliza kati ya niliyoyaorodhesha hapo chagua kimoja tuanze ku discuss...
Akili yako haina uwezo wa kudiscuss mambo ya maana ndomana unaleta upuuzi hapa jukwaani. Maisha magumu unayo wewe Mkuu
 
Na huko naona youtube channel ya Simba imedukuliwa. Kama tumefika huku, hii issue imeshakuwa ngumu.
Hizi ndio athari za kimwili na kiroho kuongoza nchi ambayo kiroho kiti kilikua kinakaliwa na alieondoka..kila mahali unaharibu
 
Akili yako haina uwezo wa kudiscuss mambo ya maana ndomana unaleta upuuzi hapa jukwaani. Maisha magumu unayo wewe Mkuu
Wewe una maisha magumu ndio mana unatukana ovyo. Sasa nimekuuliza kati ya niliyoyaorodhesha hapo chagua kimoja tuanze ku discuss...
 
Hahaha SIMBA MSIWE WANYONGE KATAENI, msiende Zanzibar nchi jirani.
 
Bora Simba imeepuka aibu ya kufungwa kwa Mkapa. Hata ikifungwa inakisingizio.
Huna akili.

Wenzio tunalia kidi zetu bilioni 31 miaka miwili hakuna kilicho fanyika.

Simba hata akifungwa magoli 31 kikubwa Fainali ifanyike Tanganyika kwenye Kodi Yetu.

SELIKALI IMEDHURUMU HAKI YA WANYONGE
 
Wala hakuna haja ya kutaka kusumbuka na hili lililojitokeza, waliosababisha haya wanajulikana sema sasahivi wamekaa kimya kama hawapo na zaidi wamewaruka watanzania kimanga kua hawakuambiwa warekebishe pitch. Matokeo watanzania maelfu kwa maelfu wamenyimwa fursa ya dhahabu ya kushuhudia tukio la kihistoria, kati yao wachache kwa idadi ya 15,000 ndio wataweza kusafiri. Tofauti ya mashabiki zaidi ya 45,000+, fursa ambayo pia wafanyabiashara mbalimbali kuanzia mama ntilie, migahawa, mahoteli, lodge, gesti, usafiri bodaboda bajaji teksi za mtandao kama Uber n.k wameikosa

Wala sio ishu ya makamu wa CAF kua kiongozi wa Berkane, wao wameona fursa wameitumia.

Sisi Wanasimba twendeni huko Zanzibar tukiwa na mashabiki wachache na tutakaowakuta huko Zanzibar kwa uchache wao wakiwa nje ya uwanja mana watakoingia ni 15,000 hapo ni pamoja na viongozi wa CAF delegates mbalimbali ..

Twendeni tukapambane, imeandikwa Simba atachukua ubingwa, basi itakua, imeandikwa tutabaki mshindi wa pili na kuambulia mabilioni na medali ya CAF, itakua..maisha mengine yaendelee. Kwa hapo tulipofikia tunamshukuru Mungu. Wakati mwingine lazima watu Fulani wajifunze kwa uchungu na maumivu makubwa sababu ni uzembe ufisadi na kutowajibika.
Ushauri mzuri. Mimi nashauri wana simba wote hasa wa kwenye matawi ambao mara nyingi wanajichanga na wote waliopo Dar es Salaam waende Zanzibar mjaze uwanja na wengine wakae nje kelele iwe mwanzo mwisho. Rs Berkane lazima akae. Wao wasipate nafasi hata ya mtu mmoja washenzi wale. Zanzibar ikipokea watu 40,000 tu inajaa kelele zake lazima ziwatishe wakikaa vibaya watazama baharini. Changieni timu wana simba team ni yenu
 
Katika waliokwisha kununua tiketi ni wachache sana wenye uwezo au watakaokuwa na nia au hamu ya kwenda Zanzibar. Linabaki swali, utajuaje yupi anakwenda na yupi haendi? Utaanza kuuza tiketi upya? Utaendelea kuuza tiketi wakati idadi iliyokwishauzwa inazidi uwezo wa uwanja?

Mifumo mingi ya malipo ya pesa ilivyotengenezwa, kurudisha pesa kwa mteja ni ngumu kuliko kuingiza katika mfumo. Na watu wengine wengi walilipa cash, unafanyaje hapo?

Hili suala la tiketi ni gumu kuliko tunavyolichukulia.
Kilichoenda kwa mganga hakirudi, mmepigwa.

Ticket zinauzwa upya.
 
Huna akili.

Wenzio tunalia kidi zetu bilioni 31 miaka miwili hakuna kilicho fanyika.

Simba hata akifungwa magoli 31 kikubwa Fainali ifanyike Tanganyika kwenye Kodi Yetu.

SELIKALI IMEDHURUMU HAKI YA WANYONGE
No reform no election.
 
Huna akili.

Wenzio tunalia kidi zetu bilioni 31 miaka miwili hakuna kilicho fanyika.

Simba hata akifungwa magoli 31 kikubwa Fainali ifanyike Tanganyika kwenye Kodi Yetu.

SELIKALI IMEDHURUMU HAKI YA WANYONGE
Kwa hiyo ukilia ndo hela itarudi?
Jadili hoja na sio mtoa hoja. Unaweza ukawa na akili hoja isiwe na mashiko.
 
Back
Top Bottom