Tusikate tamaa na maisha

Tusikate tamaa na maisha

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
kukata tamaa ni mwiko jamani aliyejiajiri akaze buti aliyeajiriwa akaze pia na sisi tunaozunguka na baasha zetu huku na kule bila kuchoka kikubwa ni kujigundua wewe ni nani na una_future gani ..tusipandikzane ujinga humu ndani
Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey
"Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates
"Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln
"Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson
"Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi" - Lionel Messi
"Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwaajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewana Wahisani" - Steve Jobs
"Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair
KUMBUKA:
Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya!!!
USIKATE TAMAA
 
Kukata tamaa katika safari ya kufanikisha kile unachokitafuta ni kosa kubwa sana.
 
Kweli mkuu ukikata tamaa ni ushindi kwa shetani hivyo ni kukaza buti tu
 
Ntakata tamaa baada ya kufa (mwisho wa safari yangu hapa duniani)
 
Back
Top Bottom