HahahahahahMasudi Kipanya kafanya jambo kubwa sana ila huyo mkenya anatakiwa kutandikwa viboko nn hicho amefanya ? Hata kama ni uvumbuzi huo ni upumbavu yaan mabati ya chooni kuunda ndege ???
Huu uchafu tupa kule.Kuna Mwamba yupo Mpemba-mji wa Tunduma,mkoa wa Songwe alitengeneza Helkopta moja matata sana hadi Wazungu wa South Africa walitaka kumchukua ili kumboresha ktk vyuo vyao sema kipindi kile Korona ndio ikawa kikwazo.Hii ni helicopter toka Kenya na inatarajia kuruka View attachment 2180168