Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
- Thread starter
- #21
exactly, kitunze kidumu.umehudumia
wachache wanatambua hilo wengi huona unahongaexactly, kitunze kidumu.
aisee!!, basi tunatofautiana, mi nilidhani kuhonga ni kumpa hela au kitu kwakutegemea malipo fulani baadae, mfano kufanya nae sex.Ndio kuhonga huko mkuu
Hao wana-negative perception. Kama ninamjali lazima nimsaidie.wachache wanatambua hilo wengi huona unahonga
'Told ya, wachache wanaojielewa ndio huoa hivo, wenzio hawapend kugharamikaHao wana-negative perception. Kama ninamjali lazima nimsaidie.
haya baba... we honga tu.. ipo siku UTAJUTAHao wana-negative perception. Kama ninamjali lazima nimsaidie.
Kama kumlala ni kushirikiana kijamii basi kumpa au kupewa pesa ni kushirikiana kiuchumi.
I'm red to be corrected!
Kuna kitu unakitafutaInamaana pogba ni domo zege, yuko rough au ni limbukeni?
Kwa yule mchezaji wa Manchester sijui nitafute nini paleKuna kitu unakitafuta
Kama kumlala ni kushirikiana kijamii basi kumpa au kupewa pesa ni kushirikiana kiuchumi.
I'm red to be corrected!

Utakuwa mpenzi mtazamaji bila shakaEti namiliki madem wakali..unawajua madem wakali kum wewe...em weka picha hapa

Well saidHELA wanataka wapewe wao tu... eti ndio kugharamikia.... ukipewa wewe inatafsiriwa eti UNADANGA kwa demu.. huo si ungese.. kila mtu ABEBE msalaba wake...
zats y wengine tuna date na wanawake walio na shughuli ya kufanya.. kila mtu ajitegemee kivyake...
naweza nisitoe hata mia.. katk mapenz yetu,ila kuna special dayz mf.BIRTHDAY.. nikatoa hata GARI,NYUMBA... au kitu kingine cha thamani.. kama zawadi/supraise...... hapo sijahonga ila NIMETUNUKU
Hahaha...atuwekee picha hapa tuthaminishe, asije akawa anatuuzaEti namiliki madem wakali..unawajua madem wakali kum wewe...em weka picha hapa
Sawa Mkuu, let wait and see.haya baba... we honga tu.. ipo siku UTAJUTA
jamani haya yanatoka wapi hahhahahahahaahhahahaa sjui mmRushwa
Takrima
Tofauti yake ni ipi