Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
- Thread starter
- #61
[emoji23] [emoji23] unataka kupewa u DC sio[emoji23] !!?we koma kutukana sponsors
[emoji23] [emoji23] unataka kupewa u DC sio[emoji23] !!?we koma kutukana sponsors
Mkuu waliozoea kuhonga acha wahonge tu!sisi tunajibebea totozi for free[emoji23] [emoji23]Naunga mkono hoja.
Mie sina pesaaaaa, Ila kifaa nachokimiliki hahahahah lazima kiwe kisuuu sanaaaaaaaa.
Kuna wana mpaka wanasemaga, Jamaa Kauzu huyu ,hana mawee wala nn ,Ila Vyombo vyake sasa anavyomiliki ni SHIKAMOOO.
siri yangu kubwa ni KUJIAMINI TUU na LUGHA NZURI inayoamsha hisia za KUPENDWA........
Hivo mwanamke awe amenipita Umri, awe anakazi yake kubwaaa, awe anamiliki sijui nn, Awee mzuriiiii mpaka wanamuogopa wwngine, awe ni mkali ,awe ana madharauu, awe ana ubize sanaaaaaa..KAMA NAMTAKA, NITAMFATA NITAMTONGOZA KAMA KAWAIDA. Without any negativity yoyote kua ATANIONAJE AU ATANIKUBALI AU LAH.
Thats all .. Unajua mwanamke anapokuja kwako sababu tu ya ulivyo kwake nasio ulichonacho inakuaGa raha sana.Mkuu waliozoea kuhonga acha wahonge tu!sisi tunajibebea totozi for free[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]sawa Mr hensamu
Wanapatikana mikoa yote inayoanza na D..[emoji23]Hao watu wanapatikana wapi
Sana!wanaohonga watapata tabu saaana[emoji23]Thats all .. Unajua mwanamke anapokuja kwako sababu tu ya ulivyo kwake nasio ulichonacho inakuaGa raha sana.
Kwani kuitwa mwanaume suruali bei gani?[emoji23]Huenda unaitwa mwanaume suruali bila kujijua. Kwa yule aliyesema hajawahi kuhonga
MmmmmhKuhonga na kuhudumia ni kitu kilekile Madam S: (kwa wapendanao)
Ndio vile nikauliza kuna tofauti gani ya rushwa na takrima
Unaguna tu Madam S:Mmmmmh