Tusikariri kuhonga ni kipaji!

Tusikariri kuhonga ni kipaji!

Naunga mkono hoja.


Mie sina pesaaaaa, Ila kifaa nachokimiliki hahahahah lazima kiwe kisuuu sanaaaaaaaa.



Kuna wana mpaka wanasemaga, Jamaa Kauzu huyu ,hana mawee wala nn ,Ila Vyombo vyake sasa anavyomiliki ni SHIKAMOOO.

siri yangu kubwa ni KUJIAMINI TUU na LUGHA NZURI inayoamsha hisia za KUPENDWA........

Hivo mwanamke awe amenipita Umri, awe anakazi yake kubwaaa, awe anamiliki sijui nn, Awee mzuriiiii mpaka wanamuogopa wwngine, awe ni mkali ,awe ana madharauu, awe ana ubize sanaaaaaa..KAMA NAMTAKA, NITAMFATA NITAMTONGOZA KAMA KAWAIDA. Without any negativity yoyote kua ATANIONAJE AU ATANIKUBALI AU LAH.
 
Kama nikimpa kwaajiri ya matumizi yake au akiniomba nikampa napo nimehonga?.
umehudumia
Ndio kuhonga huko mkuu
wachache wanatambua hilo wengi huona unahonga
'Told ya, wachache wanaojielewa ndio huoa hivo, wenzio hawapend kugharamika
Hao wana-negative perception. Kama ninamjali lazima nimsaidie.
Rushwa

Takrima


Tofauti yake ni ipi
Usicheke sana sijui hata naona rushwa ndio hiyo takrima
 
Kuhonga

Kuhudumia

Najaribu kutofautisha hapo
Kuhonga u expect something in return unatoa pesa akupe maumbile yake kuhudumia unafajya kama sehem tu ya wajibu wako na unafanya bila kutaraj kupewa chochote kile kama shukran
 
Kuna Demu alikuaga Kitaa kwao wanamjua km Tom Boy, yule dem kalelewa na wazazi wanaodekeza, dem mkalii lkn uyo anaswafa za kiume kichizi.

Njembaa kitaaan walikua wanamuogopa , ila bwanaa dem ana makalio ,anamahips ,matiti saa sita ,na sura ya kawaida .

Kweli jamaa walimuogopa..mzee baba nmekaa km wiki mbili ,nikamuanza, Fulu kumshika mkono namwambia " wee hata ukivaae you are still the sexiest woman in my world" ..

Ebwanaa Demu, alianza Kuvaa sket, akaanza kuvaa magauni. Akaanza kuvaa mavazi ya kike , akaenda saloon...

Kwa ufupi akanipendaaaaa alafu namm muda wakua huko ndo ukawa umeisha .
 
Kuhonga u expect something in return unatoa pesa akupe maumbile yake kuhudumia unafajya kama sehem tu ya wajibu wako na unafanya bila kutaraj kupewa chochote kile kama shukran
Woooooiiiiiii
 
Kuhonga ni shinikizo, ila kuhudumia ni waajibu...

Kama hutaki kuonekana unahonga basi muhudumie inaleta na kujenga adabu na heshima...


Cc: mahondaw
 
Kuonga ni kama una nunua penzi.... unakuta msichana wako ana taka 30 ya kusukia na baada ya week 3 ata omba tena na apo apo kitandan ni mzembe na ni demu wa kawaida tu... si bora niende kwa anae jiuza nampa pesa kidogo zaidi na kitandanj ni fundi zaid
 
Kuna tofauti kati ya kutongoza kwa hela(kuhonga) ili upige game na kumhudumia mpenzi..

Sasa wewe kama wajiona mjanja eti mpenzi wako hajawahi kula 15 tsh yako..

Huo ni ulofa wa kiwango cha Dreamliner...
 
Kwanza nianze kufuta ile kauli ya kusema ili upendwe lazima utoe pesa kwa fujo!bila shaka wanaume wengi wanaopenda kuhonga wana sifa hizi
1;Madomo zege
2;Hawajiamini
3;Wapo rafurafu
4;Ni ulimbukeni
5;Watu wenye papara
6;wasiokuwa na mvuto wa chochote
7;Vibamia
8;wasiojiweza kitandani
9:Wanuka midomo na miguu
N:B Mimi naishi Dunia hii hii na sijawahi kuhonga pesa yenye thamani ya 15000tsh na ninamiliki watoto wazuri tu yaani bila stress!
Hao watu wanapatikana wapi
 
Back
Top Bottom