kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 4,314
- 8,306
Wanywa chibuku mradi sio mafisadi tunawahitaji wanajenga nchi!kodi inakusanywa kutoka kwenye chibuku.hayo ni mawazo finyu kanywe chibuku huko fisadi unawajua ?
Mahakama ya umma inatoa haki stahiki,haina uonevu .!Mahakama ya mafisadi imekosa kesi
Mafisadi wapo ndo mana fimbo ya umma inawashughulikia wakati wa uchaguzi!!kwani wewe mwenzetu mafisadi unawapenda?Mkuu kama Tanzania kuna mafisadi kwanini mahakama ya mafisadi imekosa kesi
Mafisadi ni wabaya mno,tuungane tusiwaruhusu kuingia wataitafuna nchi hii kama mchwa.Thibitisha maana mahakama ya mafisadi ...majudge wanakula ubuyu tu pale. na kunywa kahawa 24/7...
Kama hukumu ya mafisadi ni fimbo ya umma wakati wa uchaguzi mahakama ya mafisadi iliwekwa kama pambo??...alafu mafisadi wapi unaoniuliza nawapenda...wale waliohonga hawara zao nyumba za serikali or wale waliotafuna na kutokomea na rambirambi juzi???Mafisadi wapo ndo mana fimbo ya umma inawashughulikia wakati wa uchaguzi!!kwani wewe mwenzetu mafisadi unawapenda?
Hee sasa ndo umeandika nini?FISADI NI FISADI TU!awe alihonga nyumba (isivyo halali) au alihusika na mambo ya umeme kipindi kile ni FISADI tuUsijaribu kumpa kura yako kwenye uchaguziKama hukumu ya mafisadi ni fimbo ya umma wakati wa uchaguzi mahakama ya mafisadi iliwekwa kama pambo??...alafu mafisadi wapi unaoniuliza nawapenda...wale waliohonga hawara zao nyumba za serikali or wale waliotafuna na kutokomea na rambirambi juzi???
Hao Chadema wamedisapoint watu wengi sana..!!UFISADI hawauzungumzii tena ,Hoja ya katiba hakuna kama tumerogwa vile tumebaki tumebung'aa macho kumwangalia M/kiti atasema nini..!matamko mepesi mepesi mara UKUTA,KATA FUNUA yasiyo na tija2020 tutawasikia mafisadi watatajwa na ccm mana wamechukua sera kwa chadema imekua yao na ndo mana usikii wimbo huo kuimbwa tena na ccm utumika kwa kampeni
Siasa ya bongo ngumu akuna haki naona defence ya ccm ni hatar kwa uhai wao ndo mana kwa kushindwa kujitetea wanatumia mbinu za attacking kutumia power sasa jeshi la upinzani wale frontline wamepungua na njia ya kununua figure leaders na itazidi coz aim ni kuvunja ukawa na kutotaka sauti moja ya upinzani ndo kitu kikubwa kwa ccm nw sasa uwezi ona nn wanafanya chadema na hii pia mbaya kwa ccm coz ndo inafanya upinzani kupata wapinzani hatar kwa ccm na wanaweza fanya ACT kupata sababu ya kuunga nguvu kwenye umoja wa upinzani ambayo ni matokeo ya chuki tu nionavyo mi lkn ila hoja yako pia nzito kwa kujenga upinzaniHao Chadema wamedisapoint watu wengi sana..!!UFISADI hawauzungumzii tena ,Hoja ya katiba hakuna kama tumerogwa vile tumebaki tumebung'aa macho kumwangalia M/kiti atasema nini..!matamko mepesi mepesi mara UKUTA,KATA FUNUA yasiyo na tija
Define development! Kwa hiyo viwanja vikiwa Kilimanjaro na Dsm sawa sawa nongwa vikipelekwa nangwanda sijaona na kamsambaNi kweli mafisadi wasikubaliwe hata kidogo hasa mafisadi HAWA waliibuka sasa.
Mafisadi wa sasa ni hatari zaidi tuwakatae 2020.
Haiwezekani watanzania wanakufa kwa kipindupindu kwa kunywa maji machafu,
Watu wanakosa dawa hospitali,
Elimu iko mahututi,
Umaskini umeongezeka, halafu MTU mmoja kwa utashi anachukua mabilioni ya fedha anakwenda kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwake, anaweka trafficlight kijijini kwake, anaendesha nchi kwa ubaguzi,ukabila,uchama,na ukanda..
Hakika hatutawasamehe na hatutawasahau
2020.
Hizo ni ngonjera..!simamisha mtu safi asiye na tuhuma za ufisadi ushindi ni wazi.Leteni tume huru ya uchaguzi muone.
Acha uwongo kitu chochote kinachofanywa kwa ajili ya nchi hufanywa kwa kuangalia faida yake.Define development! Kwa hiyo viwanja vikiwa Kilimanjaro na Dsm sawa sawa nongwa vikipelekwa nangwanda sijaona na kamsamba