Tusifanye mapenzi kwa kukariri

Mkuu, umenichekesha sana, mi kuna favourite style yangu nimeshamzoesha waifu kiasi kwamba baada ya foreplays waifu anawahi tu mwenyew kukaa ule mkao, teh, teh, teh, inabidi nibadilike.

Hamia Digital, maana kama mpaka mke amekukariri!!!!!!

 
Mimi huwa nahama viwanja leo taifa,kesho chamazi,mara kirumba
 
MA-STYLE YA KUTUPIA

-Dog style

-mbuzi kagoma

-kifo cha mende

-chuma mchicha

-woman-on-top
 
Mimi huwa nahama viwanja leo taifa,kesho chamazi,mara kirumba
ah wkati mwingine azam kucheza karume poa tu!kwani lazima chamazi kile siku baaanaa!
hizi topic hiz loh!
tasahau mimi kufunga laptop jamani!
 
Waweza soma halafu ukayafanyia kazi, sio lazima msome wote.

ah wache wasome wote !wakimaliza hapo wala hakuna wa kumuuliza mwenzio kama somo limeeleweka NI UTEKELEZAJI FASTA!
 
Mapenzi ni tendo lisilo na kanuni wala maelekezo,inategemea maumbile n.k...linategemea mood na speed ya wapenzi wenyewe.Na baadhi ya styles wengi huzipa kipaumbele na wala hazichoshi...kutokutabirika kwenye ndoa kunaweza kuzua maswali yasiyo na majibu ya moja kwa moja mf.umeitoa wapi hiyo style n.k
 
Sidhani kama kunahaja ya mifano kwani maelezo yanajitosheleza.

aaah hapana mkubwa! hakuna somo nzuri kama somo ambalo utafundishwa na ukapewa na mifano,kwa mfano somo la hesabu bila mifano litaelekwa kweli?
 

Kwa kuongeza wabadirishe mazingira sio kila siku kitanda cha nyumbani, mna watoto watano wote wamepatikana nyumbani aah!jamani...huko ndiko kukariri..siku nyingine hotelin,guest house logde ikiwezekana hata nje ya mkoa au nje ya nchi kama uwezo unaruhusu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…